Dvd maalumu kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 0-12

Dvd maalumu kwa ajili ya watoto wa umri kati ya miaka 0-12

pampulah

New Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Je una mtoto mwenye umri kati ya miaka 0-12? Na unampenda? Ungependa apende kujifunza na kuwa makini na mahiri katika elimu? Tuna kitu cha kumfanya awe hivyo na ni hiki hapa,
kutana na programu ya ajabu iliyogeuza watoto kanda ya ziwa na inayoendelea kugeuza watoto kwa kasi ya ajabu,geuza na boresha maisha ya mwanao kielimu akiwa nyumbani pasipo kuhitaji mwalimu wa ziada
shirikisha rafiki zako unaowapenda na kuwajali katika hili na ni maalumu kwa watoto wenye umri wa miaka 0-12 itawafanya wapende kujifunza na wasitamani kitu kingine kabisa kama kuangalia miziki na katuni zisizo na mafunzo muhimu, sasa watajifunza mambo muhimu sana na uzuri ni watoto wenzao wanafanya hayo mambo watajifunza mambo yafuatayo;
1.alfabeti watajifunza kuandika kwa herufi kubwa na ndogo na kuzitamka pia a-z.
2.watajifunza wanyama mbalimbali majina yao na picha zao pamoja na sauti zao.
3.watajifunza aina mbalimbali za rangi pamoja na majina yake.
4.watajifunza pia siku za wiki kuzitamka na kuziandika kwa ufasaha.
5.watajifunza nyimbo za lugha ya kiingereza kuanzia herufi a-mpaka herufi z na pia kuna nyimbo za salamu na kujitambulisha.
6.watoto pia watajifunza miezi yote kumi na mbili ya mwaka kuiandika pamoja na kuitamka kwa lugha ya kiingereza.
7.watoto pia watajifunza kuhesabu na kuandika namba kuanzia sifuri mpaka trilioni moja.
8.watoto pia watajifunza maumbo mbalimbali kama mraba,mstatili,pembe tatu na kadhalika kwa lugha ya kiingereza.
9.watoto pia watajifunza rasilimali za asili na rasilimali za kutengenezwa na binadamu pamoja na maswali na majibu yake.
10.watoto pia watajifunza kwa kuangalia filamu za kitoto ambazo zina ujumbe wa maisha ya kujitegemea na kuishi vizuri na watu.
11.watoto pia watajifunza sehemu muhimu za mwili kuandika na kuzitamka.
12.watoto pia watajifunza majina ya matunda pamoja na picha zake na jinsi ya kuyatamka na vyakula mbalimbali.

KARIBUNI KWA AJILI YA MANUNUZI TUNAUZA JUMLA NA REJAREJA NA TUTAKUSAFIRISHIA DVD MPAKA ULIPO WASILIANA NASI KWA NAMBA HII YA WHATSUP 0782556045 AU 0765536842
 
Hizo DVD ni package moja au tofauti? Na gharama zake ni shilingi ngapi? Kama mpo Dar wapi mnapatikana nije mwenyewe ?
 
Back
Top Bottom