Dvd, vcd zinatakiwa.

Kashaija

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2008
Posts
255
Reaction score
62
Waheshiwa naomba msaada wa mawazo,

Tafadhali nielekeze ninapoweza kupata DVD au VCD za tuition za watoto wa kati ya miaka 3 hadi 8. Ziwe ni zenye maudhui ya shule, zenye kufundisha kiingereza cha kuongea, hesabu n.k.

Nafanya hivyo kwasababu nadhani ni vizuri baada ya muda wa shule wakaendelea kujifunza kwa njia hiyo kuliko kuangalia mambo ya ajabu kwenye TV.

Naomba msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…