Ni genes za wazazi ama genetic disorder, ama matatizo ya ubongo kuendelea kuzalisha growth hormone hata kama umefikia kiwango kinachotakiwa.
Sababu kubwa hua ni hizo, urithi ama ugonjwa.
Miaka ile ya nyuma yalikua yamejaa WWE, makubwa kinoma[emoji23].
Mimi ni futi 6.5 najiona nilivyo mkubwa, sasa mijamaa ya 7.6, 7.7 ikoje. Niliemda siku moja pale Sabasaba nikakutana na yule jamaa mrefu anaonekana sana kwenye tv, yuko 7.4 ama 7.5, nikajilinganisha nae nikajiona mdogo.
Anyway, binafsi ningetamani kama ningekua 7 hivi[emoji23].