MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Huyu dogo bana anajua mpira na yupo kwenye form ya hatari tangu aanze kucheza mpira magoli kafunga ya kutosha ndio aliyeivusha juve hadi robo fainali ya uefa champions league
Juve wanamtegemea ila linapokuja swala la timu ya taifa huwezi kuwa juu ya Messi sio timu ya taifa tu hata kidunia huwezi kuwa juu ya Messi mambo yahusuyo mpira
Argentina ni Messi na Messi ndio argentina na Argentina bila Messi ni timu ya kawaida
Hao washambuliaji wote kuanzia Gonzalo Super Kibonge Higuain Sergio Kun Aguero hata Icard wanalijua hilo
Awe mpole juu ya Messi ili aitwe timu ya taifa ndio maana nasema
Atachosema Messi yeye aseme Amen