Dybala atachosema Messi wewe sema Ameen

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Huyu dogo bana anajua mpira na yupo kwenye form ya hatari tangu aanze kucheza mpira magoli kafunga ya kutosha ndio aliyeivusha juve hadi robo fainali ya uefa champions league

Juve wanamtegemea ila linapokuja swala la timu ya taifa huwezi kuwa juu ya Messi sio timu ya taifa tu hata kidunia huwezi kuwa juu ya Messi mambo yahusuyo mpira

Argentina ni Messi na Messi ndio argentina na Argentina bila Messi ni timu ya kawaida

Hao washambuliaji wote kuanzia Gonzalo Super Kibonge Higuain Sergio Kun Aguero hata Icard wanalijua hilo

Awe mpole juu ya Messi ili aitwe timu ya taifa ndio maana nasema
Atachosema Messi yeye aseme Amen
 
Alafu wanakuja kumfananisha na vitu vya kijinga.eti gaucho wanamcompare na King MessiπŸ˜€πŸ˜€ waswahili bana, dunia inatuona wa ajabu sana
 
Huuu ujinga wa kumuabudu
Binadmu mwenzio kama Mungu
Stakuja kuufanya hata sku moja

Na wote wanaofanya hv
Nawaambia n stupid!!!
 
Pamoja na messi wenu mkagongwa 6-1 na spain!!

Hapo bado injini za mjeruman hamjakutana nazo...
 
the magician anakitendawili kikubwa june, kama atafanikiwa naamini pasikuwa na shaka yoyote atakua GOT, Greatest the world has never seen
 
Acheni ujinga messi amecheza na akina neymar ,Suarez mafahari hawa na alikuwa normal mpaka siku Neymar anataka kuondoka messi alikesha kumuomba asiondoke

Messi ndoto yake ni kupata mafanikio timu ya taifa na angependa acheze,azungukwe na best players bila hivyo anajua hatofanikiwa na kingine ni mtu wa team work na kuhusu position messi anacheza deep hata timu ya taifa anacheshwa false midfielder


Mwalimu sampaoli anasema dybala ana type ya uchezaji sawa na messi hivyo vigumu kwa mfumo wake kuwa accommodate wachezaji hao 2 kwenye timu yake


Kitu ambacho binafsi sioni sahihi Argentina ina vilaza wengi dybala first team anacheza position ya di maria


All in all ni mwalimu na mfumo wake na maamuzi yake

Kumshambulia messi kwa maamuzi ya kocha ndio ujinga ,haya dybala awe mpole na mwalimu kashasema kwenye mfumo wake hafiti ndio atacheza ..


Kwa friend game hizi sampaoli abadili maamuzi yake Arg ni messi tu wengi Vilaza..icardi asamehewe na dybala aitwe
 
Kwa hiyo unataka usemeje mkuu? Kwamba angecheza msingebugizwa sita?

Kwani wewe huoni? Mbona unauliza majibu! watu hawataki kushindana kwenye mechi za kirafiki ila wanatest aina ya wachezaji watakaoenda Russia.inamaana waliowekwa kikosini ni wale wanaoshindania nafasi ya kwenda Russia? Timu ya Argentina ilikuwa benchi Sheikh Upepo. Hope watafanya vizuri kombe la dunia yanini kujiumiza while hakuna tuzo yoyote.

Hata ujerumani umeona kuna baadhi ya players hawakuwemo Ozil, Hummels, Khedira, Gotze, Muller n.k ndio maana hawakuwa serious ktk mechi ya kirafiki, ukija kwa brazil ni full kikosi na wametumia nguvu nyingi sana yani wamejikakamua eee utafikiri final/wanashindania kombe πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Ngoja nikurahisishie kidogo wachezaji ambao hawakucheza ni hawa hapa na sio Messi peke yake.

  1. Messi
  2. Dybala
  3. Aguero
  4. Di maria
  5. Lanzini
  6. Lcardi
  7. Mercado
  8. Roncaglia
  9. Javier pastory
  10. Angel correa
  11. Nicolas Gaitan.
 

Kocha afanye kila namna awaite hawa mafundi Dybala na Lcardi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…