Hey pal do we still have you?.... And now I am dying
And suddenly I realized I forgot to live.
....
Umenikumbusha ngoja leo niende pale Nikky`s - Njiro kwenye supu ya samaki na crabs wa kubanika. Maisha ndo haya bana...kwani nini?
Mkuu mie huwa sihongi nagawana umaskini na wadau wa maungoni kaka....Nakwambia ukizibania, utakula dongo, na wanaobaki watazigombea na wengine (kama akina Msanii) kuzihonga!! hahahaaaaa....
Mkuu mie huwa sihongi nagawana umaskini na wadau wa maungoni kaka.
Hehehe
Hivi kule A Town bado lile Trupa kwa Mrina lipo???