Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Jana alhamisi mashabiki wa Dynamo Kiev walivamia uwanja baada shoot-out victory dhidi ya wapinzani wao wakubwa katika ligi ya Ukrania Shakhtar Donetsk. Angalia picha uone vurugu mechi za ligi kuu utafikiri kombe la mbuzi kule Tandale.