Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,536 Reaction score 15,746 Jun 5, 2015 #1 Jana alhamisi mashabiki wa Dynamo Kiev walivamia uwanja baada shoot-out victory dhidi ya wapinzani wao wakubwa katika ligi ya Ukrania Shakhtar Donetsk. Angalia picha uone vurugu mechi za ligi kuu utafikiri kombe la mbuzi kule Tandale.
Jana alhamisi mashabiki wa Dynamo Kiev walivamia uwanja baada shoot-out victory dhidi ya wapinzani wao wakubwa katika ligi ya Ukrania Shakhtar Donetsk. Angalia picha uone vurugu mechi za ligi kuu utafikiri kombe la mbuzi kule Tandale.