E-banae mambo ya Beckam haya..


Bouncing around ... Victoria and David on blue ball

Name game ... couple discuss their options
Duh! wazazi wengine mazoezi yao ni kubeba ndoo za maji, kuchanja kuni na kichapo kutoka kwa ma mura!
 
Hivi hizo ni picha za watu au vikatuni, hicho kitovu cha Victoria kama kitunguu tehe tehe tehe. Hata vicheche vyangu vya kitaa vina mvuto. Tumia Caro-light ung'ae wewe, ha ha ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…