Nipo Dar es SalaamSasa tunakupaje kazi na wewe uko Simiyu?
Samahani naomba kukuulza jambo tafadhali,Habari ya muda huu ndugu zangu..
I'm a freelance Accountant doing the following
1. E-filing (PAYE & SDL)
2. Payrolls preparation
3. VAT returns preparation and filing
4. Preparation of books of Accounts
For anyone who would like this freelance service please contact me.
Mobile: Call/WhatsApp 0684477050
Email: mgayadeograsia@gmail.com
Karibuni sana na Asante kwa support yenu!
Ninapatikana Dar es Salaaam.
Ni dm nikuelekezeSamahani naomba kukuulza jambo tafadhali,
Kwenye ku-file PAYE na SDL huu mfumo mpya nimekuta information zote za employees zimehamishwa automatically.
Sasa kuna baadhi ya wafanyakazi wameongezewa mshahara,sioni sehem ambapo naweza ku-edit info.
Msaada please.
Ame ku quote hapa halafu unataka kukimbilia mafichoni?Ni dm nikuelekeze
Nenda kwa juu pale utaona sehemu ya kufanya hizo editing ukii click utaona inakuletea option ya employee na mamanagement sasa bonyeza management then kama una add fuata maelekezo ni user friendly haina shida.Samahani naomba kukuulza jambo tafadhali,
Kwenye ku-file PAYE na SDL huu mfumo mpya nimekuta information zote za employees zimehamishwa automatically.
Sasa kuna baadhi ya wafanyakazi wameongezewa mshahara,sioni sehem ambapo naweza ku-edit info.
Msaada please.
Shukrani [emoji120], nilfanikiwa kuedit tayari.Nenda kwa juu pale utaona sehemu ya kufanya hizo editing ukii click utaona inakuletea option ya employee na mamanagement sasa bonyeza management then kama una add fuata maelekezo ni user friendly haina shida.
Karibu sana [emoji120]Shukrani [emoji120], nilfanikiwa kuedit tayari.