Killmonger
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 2,021
- 2,242
Sikiliza U-live michezo hutajuta achana na vituo vya kamari na matangazo mpaka yanaboa
Sikiliza wapo radio FM kuanzia saa mbili ahsubuhi mpaka saa nne.Wiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara
N kweli matangazo yanalipa Kodi na mishahara lakn yasichukue nusu ya kipindi
Unaweza kuta mchambuz anaelezea kitu ch maana lakn katikat ya maelezo utasikia shikilia hapo hapo tutarud hali hii hata msikilizaji anaboreka nakuamuakufungua stesheni nyingne
Mbona mwanzon mlianza vzur matangazo yalipata airtime lakn s kwakufanya kipind kitawaliwe na matangazo
Utafitit wangu mdogo kwa sasa watu wengi wameanza kuzikimbia hiz radio kubwakubwa kutokana na matangazo kuwa mengi kuliko content ambayo mlaji alitarajia kuipata
USHAURI wangu lifanyieni kazi hili maana unakuta hadi hao watangazaji hasa TUNU huwa anajishtukia kwakusahau kuendeleza pale alipoishia kumuhoji mchambuzi kwamuda ambao tangazo limechukua
SIKILIZA TU U-LIVE.Sikiliza U-live michezo hutajuta achana na vituo vya kamari na matangazo mpaka yanaboa
UFM inapatikana kwa masafa ipi? Au ndo Upendo Radio?Sikiliza wapo radio FM kuanzia saa mbili ahsubuhi mpaka saa nne.
Kwanza Kuna wachambuzi Bora na waendeza kipindi wako vizuri sana.
Pia sikiliza U Live kwenye UFM jioni saa kumi kamili mpaka saa moja jioni jumatatu mpaka ijumaa.
Clouds walikuwa vizuri siku hizi wameharibu kabisa.
Tatizo lako huna a,b,c's za Mass Media, PR and Advertising na ndiyo maana unazoza ( unabwata ) tu hivi.Wiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara
N kweli matangazo yanalipa Kodi na mishahara lakn yasichukue nusu ya kipindi
Unaweza kuta mchambuz anaelezea kitu ch maana lakn katikat ya maelezo utasikia shikilia hapo hapo tutarud hali hii hata msikilizaji anaboreka nakuamuakufungua stesheni nyingne
Mbona mwanzon mlianza vzur matangazo yalipata airtime lakn s kwakufanya kipind kitawaliwe na matangazo
Utafitit wangu mdogo kwa sasa watu wengi wameanza kuzikimbia hiz radio kubwakubwa kutokana na matangazo kuwa mengi kuliko content ambayo mlaji alitarajia kuipata
USHAURI wangu lifanyieni kazi hili maana unakuta hadi hao watangazaji hasa TUNU huwa anajishtukia kwakusahau kuendeleza pale alipoishia kumuhoji mchambuzi kwamuda ambao tangazo limechukua
NakaziaWiki hii nilibahatika kusikiliza kipindi Cha michezo Cha asubuhi Hawa jamaa wanatisha kwa matangazo ya biashara