wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Na lile tangazo la yule Dr. Wa uviko wanalipenda kishenzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ndiyo mpuuzi kabisa kazi yake kupiga makelele tu kama ana mapepo vileVpi wa Maulidi Kitenge?
Hamna kitu hapo.Vpi wa Maulidi Kitenge?
Kazi yangu inaniruhusu...coz haizibi masikio yanguHuo muda wa kusikiliza redio saa tano mnautoa wapi hongereni,edo ni mwandishi wa makala redio analazimisha
Tatizo Ni yule Oscar Oscar,hajui kitu halafu anambishia huyo Jeff unakuta Muda mwingi wanaishia kwny kubishana tu.Kwani gef lea siku hizi hayupo E FM maana yule ndo bingwa wa kimataifa Tanzania ambagile hagusi pale.
Hawana uchambuzi wa maana zaidi ya kusema sure boy kavunja mkataba hapo wanaanza ubishii wee dakika 15 wakitoka hapo matangazoo hrf zinaanza story utasema wamekutana hyo siku hawajauni.Huyo jamaa na yule Jeff kazi Yao Ni kubishana tu.Utter non sense.
East africa radio wanajitahidi kuchambuaHawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa.
Kipindi kinaanza Saa 11:00AM,lakini wanaweka matangazo wee,mpaka saa 11:30AM ikifika hapo atakuja jamaa sijui wa wapi anaanza kuhadithia matokeo ya mechi za jana kana kwamba mashabiki hatukucheki hizo game,akimaliza atahadithia matukio ya uwanjani then matangazo tena hadi saa 11:45AM.
Wakirudi hapo hakuna cha kuchambua formations za uwanjani, tactics za makocha na patterns za uwanjani,hapo watabishana weee hadi 11:55AM then watamtafuta mshindi millionaire then kipindi kimeisha hivyo.
**********************
Atleast kidogo WASAFI FM tena akiwa AMBANGILE ndio watachambua vzr kwenye medani za kimataifa na kwa mbaaali U FM.
Ukienda kule clouse ni hivyo hivyo,hakuna wachambuzi wa kuchambua mbinu za makocha,mifumo, chemistry za uwanjani n.k wengi wanahadithia matukio na history za hizo timu tu kama kaka yangu mwakyisu na ndugu eddo ambaye anavizia AMBANGILE akianza na yeye anamdakia kwa juu.[emoji23]
Halafu Efm kipindi Cha sports Cha saa moja usiku wamekifuta? Maana huwa ni mziki tu kwa kwenda mbele.Hawa jamaa wa E FM kwenye segment ya medani za kimataifa hakuna kitu wana chambua kule.Jamaa atakuambia tuna mengi sana ya kukuambia leo lakini subiri muda wenyewe ufike sasa.
Kipindi kinaanza Saa 11:00AM,lakini wanaweka matangazo wee,mpaka saa 11:30AM ikifika hapo atakuja jamaa sijui wa wapi anaanza kuhadithia matokeo ya mechi za jana kana kwamba mashabiki hatukucheki hizo game,akimaliza atahadithia matukio ya uwanjani then matangazo tena hadi saa 11:45AM.
Wakirudi hapo hakuna cha kuchambua formations za uwanjani, tactics za makocha na patterns za uwanjani,hapo watabishana weee hadi 11:55AM then watamtafuta mshindi millionaire then kipindi kimeisha hivyo.
**********************
Atleast kidogo WASAFI FM tena akiwa AMBANGILE ndio watachambua vzr kwenye medani za kimataifa na kwa mbaaali U FM.
Ukienda kule clouse ni hivyo hivyo,hakuna wachambuzi wa kuchambua mbinu za makocha,mifumo, chemistry za uwanjani n.k wengi wanahadithia matukio na history za hizo timu tu kama kaka yangu mwakyisu na ndugu eddo ambaye anavizia AMBANGILE akianza na yeye anamdakia kwa juu.[emoji23]
Kitenge sio mchambuziVpi wa Maulidi Kitenge?
Kwani gef lea siku hizi hayupo E FM maana yule ndo bingwa wa kimataifa Tanzania ambagile hagusi pale.
Ambangile ni next level ndugu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti Ambangile hagusi aiseeee hiki ni kituko
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app