e-GA inahujumiwa

CCM mbere kwa mbeereeeeee

Ukiuliza kidogo,unasikia "mama anatenda","mama kizimkazi".....matako yenu
 
Duu ,haya mambo aulizwe Nape
 
Wapewe tu hao NMB na hata wengine wataokuwa tayari na uwezo wa kufanya...

Taasisi za serikali zimelala, hakuna ubunifu, wanakula mishahara ya bure tu...

eGA toka kuanzishwa kwake hadi sasa wamefanya jambo gani la maana?

 

Attachments

  • stakeHighpic.png
    39.4 KB · Views: 4
Una Kitu! Itabidi ujengewe sanamu kwa avatar uliyoweka jf.

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Ukiona mradi upo lakini wazee wanapush utengenezwe pia hicho kichaka.
Watu wamevuna pesa toka NMB , nchi inanuka hongo na rushwa , Nape nakuheshimu sana lakini ulichofanya umeua vipaji vya watoto maskini wengi sana ambao kupitia e-GA walikua wanafanya makubwa kwa nchi hii, umepata pesa za uchaguzi huna habari
 
Wapewe tu hao NMB na hata wengine wataokuwa tayari na uwezo wa kufanya...

Taasisi za serikali zimelala, hakuna ubunifu, wanakula mishahara ya bure tu...

eGA toka kuanzishwa kwake hadi sasa wamefanya jambo gani la maana?
haiwezi kuwa nchi lawless ,leo NMB anapewa kazi za software ,kesho CRDB atapewa tender ya kusindika maziwa , mnafikiri kwa kutumia matumbo na kuwaza hongo na 10% , wazee wa Tanzania Digital work group wakiongozwa na Nape wameuza nchi na siri za mifumo ya nchi kwa taasisi binafsi ili wapate 10%
 
CCM mbere kwa mbeereeeeee

Ukiuliza kidogo,unasikia "mama anatenda","mama kizimkazi".....matako yenu
Nape na wenzake wanamhujumu mama samia ,wanaipa kampuni ya bank kutengeneza mifumo.
Hawa wako tayari kuipa CRDB tender ya kusindika mikate ili wapate 10% ni aibu
 
Hii Nchi ukiona mradi unaanzishwa sio kwa ajili ya kutatua changamoto za watanzania bali kutatua changamoto za familia binafsi ya waliopo kwenye mradi
na wakiambiwa wanakua wakali, wanamharibia sana Rais , kipindi upinzani wa nchi hii uko hai madudu haya yalitakiwa yawe yamepigiwa kelele sana ,lakini sana akina Zitto Kabwe wanaogelea kwenye asali tu ,hawana habari.
Future ya technology serikalini inamezwa na Billion 5 ni aibu
 

Mtakuwa wakali lakini taasisi za serikali zimelala, zinafanya kazi kwa mazoea, hakuna ubunifu wowote...

Hao eGA wana infrastructure nzuri kweli maybe top class kwa teknolojia lakini hakuna tija yeyote...

Hizo infra zimetumia kodi yako na ya wengine...
 
Ndio maana tunasema ili uikombea nchi kutoka kwenye utegemezi wa technology waamini vijana wako ,wape majukumu ,watatambaa miezi miwili ya kwanza then watatembea, e-GA wameshavuka hatua za kutambaa wanakimbia mbio safi ,inawezekana hawajafikia perfection ya microsoft na wengine lakini e-GA ni game changer kwa mapinduzi ya TEHAMA.
Sasa kuna kundi la wazee wanajiita Digital transformation kikosi kazi,wamekula pesa za NMB waka single source tender ya kutengeneza mifumo kwa NMB ,wakiongozwa na Nape.

Kama wazee wanaamini e-GA hawezi basi watangaze tender ya wazi makampuni yaombe tender,hii ya kupeana mkononi tender na NMB ni utaratibu mbaya uliojaa rushwa ,5Billion zimezika ndoto za vijana wa e-GA
 
Twitter hua inadondoka,Facebook hua inacrush, google the same ,hadi whatsapp , mfumo upi duniani hua hauna hitilafu?
Kwa hio 500 error ndiyo imefanya wajomba zako na wazee wako wauze mifumo ya serikali kwa NMB?
hua aibu

basi tuseme jana ilikua inacrash na leo vp?
 
Twitter hua inadondoka,Facebook hua inacrush, google the same ,hadi whatsapp , mfumo upi duniani hua hauna hitilafu?
Kwa hio 500 error ndiyo imefanya wajomba zako na wazee wako wauze mifumo ya serikali kwa NMB?
hua aibu

actually nshafanya nao kazi kwahio sielewi utetezi wako unautoa wap ila its the worst!
 
actually nshafanya nao kazi kwahio sielewi utetezi wako unautoa wap ila its the worst!
kufanya kazi na e-GA kwa just ku integrate mfumo wako kwao ni tone la maji baharini.
sasa mkuu unaamini banking sector ina vijana bora kuliko e-GA ambao wao wakilala wakiamka wana develop mifumo?
au unaamua kubisha tu ,ungenilinganishia e-GA na dev companies za mbele kubwa ningekuelewa lakini hapa TZ hakuna wakali wa dev kama e-GA
 

eti nn πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , EGA hawako pale kwa ajili ya integration bali mifumo ya serikali inakua hosted pale, nmetengeneza mifumo kadhaa ya serikali na confidently naweza kukwambia EGA is the worst of the worst, yaaani ni MVP wa worst taasisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…