nimekisoma huko, na hata sasa ninakisoma hapa ninapokuandikia hii sms, lakini sijui sababu ya kupigwa marufuku,
Wadau naomba kuuliza, kwa wale wanaopenda kufuatilia kazi za riwaya za Prof. E. Kezilahabi watakuwa wanafahamu riwaya ya Rosa Mistika. Nimekisoma sana kitabu hiki ila sifahamu ni kwa nini serikali ya Tanzania ilikipiga marufuku kitabu hiki kusomwa. Noambeni maelezo kwa mwenye kufahamu.
Kinapatikana wapi??Yap, kiliruhusiwa miaka ya karibuni na ndio maana leo unakisoma.
Negro Success, ni jina la bendi moja kule Congo na matondo ya beya, ni jina la moja ya nyimbo zake.kuna sehemu mwandishi ameandika "NAPATA NEGRO SUCCESS NA MATONDO YA BEYA.
Mwenye soft copy naomba jaman ani pm