E. Kezilahabi: Rosa Mistika


Real ?nitaenda Chuo kikuu kukisoma ili nipate concept.
 

kwa mujibu wa mtaala wa kidato cha tano katika sehemu ya udhamini ile inaitwa ni UDHAMINI wa nguvu kwakuwa iligusa inaielezea nchi ilivyo kiundani, ilipigwa marufuku ili kuilinda serikali
 
ni kweli kuwa kilipgwa marufuku kwa sababu mistika ina maana ya mtakatifu kwa wakatoliki na Rosa Mistika wa kwenye ktabu cha E.Kezelahabi amefananisha na Bikira Mariamu (anaeshmika sana kwa wakatoliki) lakn anafanya vtendo viovu tofauti na bikira Mariamu hvyo ilikuwa kama kudharirisha na kumdhihaki Mariamu na kanisa la wakatoriki ndo maana kikapgwa marufuku!

naunga mkono hoja!
 
Rungu la Mdhibiti vs Uhuru wa mwandishi.
 
Mie huwa napenda ile sehemu ya hukumu
Da, kweli lilikuwa ua lenye fumbo
^^
 
wakuu mwenye soft copy ya riwaya hii ninaomba anisaidie. NINA SHIDA NAYO SANA CHONDE CHONDE WAKUU
 
Mistika ni kilatini...kingereza chake ni mystery...(Fumbo)

Hivyo Rosa Mistika(Waridi lenye fumbo)
 

Dah, umenikumbusha mbali: Vere tu Rosa Mistika es, hominess intarogable (sina hakika kama nimepatia spelling), yakimaanisha, 'kweli wewe ni Ua Waridi lenye Fumbo, nitawauliza watu', ni maneno ninayoyakumbuka hadi leo ingawa nilikisoma mwaka 1988 nikiwa bado mdogo, brother wangu alikuja nacho home...
 
kitabu hiki mie nimekisoma miaka 1984 nilikipenda mno na nahitaji kukipata hata leo,hardcopy naweza kupata wapi?

Kuna vitabu vingi vya zamani hata sijui tutapata wapi.. Ninatafuta kitabu kimoja kina historia ya kina Zumbe Kimweri,na tawala nyingi ... pia cha Mwanamalundi.
 
mkuu
mkuu unanipa mzuka sijui nitakipata wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…