E-learning in tanzania

chilubi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
8,188
Reaction score
6,244
Hivi jamani TZ kuna e learning? Km ipo ni wapi wanasomesha? Na vp utambulisho wake, inatmbuliwa na waajiri na serikali?
 
Hivi jamani TZ kuna e learning? Km ipo ni wapi wanasomesha? Na vp utambulisho wake, inatmbuliwa na waajiri na serikali?

mkuu fatilia zaidi maana ya E-learning na uedit hiyo post yako. Kwa jinsi nilivyokuelewa, unafikiri kwamba e-learning ni fani kama ilivyo kwa wahasibu na wengineo.
 
Hivi jamani TZ kuna e learning? Km ipo ni wapi wanasomesha? Na vp utambulisho wake, inatmbuliwa na waajiri na serikali?

huo ni mfumo wa kufundishia, pale UDSM ilikuwa inafanyika Coet kabla ya kufungua ile Virtual learning centre, ambayo haitumii tena e-learning.
 
E- Learning kwa sasa inatumiwa sana na Open University,ukifungua web yao yana catgory hiyo ambayo wanatumia moodle system,lakini muanzisha mada sina hakika kama ameperuzi vizuri maana ya e-learning.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…