Mambo vp wandugu,ninashida hapa kidogo
ninawezaje ku-hack e-mail password ya mtu? (how can i hack a mail password of someone?).
Dear junior Member, mzima wa afya???.
Kwanza nukupongeze kwa kujiunga na JF. Karibu sana.
Unaonekana unashida japo kiukweli sio shida kwani lengo lako linaonekana unataka kumwibia mtu, na unaomba sisi tukusaidie kufanya hiyo kazi. Mimi binafsi sipo tayari hata kama nipo katika iindustry. Kisheria ukipatikana utafikishwa katika vyombo husika. Kumbuka kuwa zipi sheria zinazo hudika na mambo kama haya kuibiana password, au kuhack inbox ya mtu. Nakushauri kama unataka kujua siri za mtu, au mchumba wako tmia njia nyingine, si vizuri na mtu akigundua umemfanyia kitu kama hicho ni kama umemvua nguo zake.
Sasa nikirudi kwenye uwezekanano wa wewe kupata password ya huyo mtu unayetafuat password yake ni kwamba huwezi kupata labda kwa uzembe wake mwenyewe kwani hata administrator wa yahoo, au hotmail, gmail etc kisheria hawatakiwi kujua na systems zilivyo tengenezwa hazihifadhi maneno yako ya kiswahili ya password yako, kuna process ya kubadili kila unacho kaindika kwenye herufi ambazo si lugha sometimes.
Kuhusu kupata technique to hack an email adress ya mtu, ni vyema tungetumia neno to crack. Kwani haya maneno sometimes yanachanganyana lakini kwa mtu usiye na malengo mazuri tutakuita cracker na wewe naamini lengo lako si zuri la kupata siri za huyo mtu unayetaka kumyanyia hicho kitu. Nipo tools internet, nyingine zinauzwa au wengine watakueleza hivi na pale lakini si kitu rahisi kama wengi wanavo weza kudhania. Lakini sikushauri uendelee kufatilia hili jambo.
Ila kama unasababu za msingi unaweza kupata kibali cha kisheria kucrack someone email na wataalam wa hiyo kazi wapo.