M mwasu JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 10,161 Reaction score 11,536 May 15, 2019 #21 Mbasha ameamua kumsamehe hata Gwajboy aliekuwa sababu ya kuvurugika ndoa ye baada ya kuona ulimwengu umeshuhudia hasimu wake anavyopenda kutafuna wana kondoo wake..
Mbasha ameamua kumsamehe hata Gwajboy aliekuwa sababu ya kuvurugika ndoa ye baada ya kuona ulimwengu umeshuhudia hasimu wake anavyopenda kutafuna wana kondoo wake..
Queenever JF-Expert Member Joined Aug 16, 2017 Posts 2,051 Reaction score 3,018 May 15, 2019 #22 Hongera sana Emma
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 May 15, 2019 #23 Emmanuel Mbasha wa era ya jipe moyo ni tofauti na huyu wa sasa baada ya kuvurugwa na gwajiboy na kusekwa.
Emmanuel Mbasha wa era ya jipe moyo ni tofauti na huyu wa sasa baada ya kuvurugwa na gwajiboy na kusekwa.