wakozuka Member Joined Mar 24, 2011 Posts 30 Reaction score 7 Jun 28, 2024 #1 emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo ukajibiwa baada ya mwezi.
emrejesho hapo nyuma ilikuwa ndio sehemu unaweza toa malalamiko ya SEREKALI na ukawa salama na swala likashughulikiwa haraka. Ila sasa asee nikama hawafanyi hii kazi Tena. Unaweza repoti tatizo ukajibiwa baada ya mwezi.
F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Jun 28, 2024 #2 Mama Samia amedoda sana.