NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kama alikua Hana sifa Nani aliyemleta Tanzania na kumsainisha mkataba kuwa Simba sc?
Nini majukumu ya head of scouting au ilikuwa ni zuga/njia nyingine ya kupiga hela?
NALIA NGWENA nilipoona afsa habari wa Simba sc Ahmedy Ally akisema kuwa "tumemchukua mchezaji wao pale airport"
Akili kubwa niligundua tu kuwa "head of scouting" ilikua ni zuga/mfanyakazi hewa asiyekua na kazi lakini timu bado inaongozwa kiswahili Swahili.
Uongozi umemtazama kipa mbrazil mazoezini wakaona hapa hakuna kitu tumepigwa na wakaamua kuzusha kuwa ana jeraha kaumia mazoezini.
Ukweli ni kwamba Hana sifa/ubora wa kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Nawasilisha hoja.