NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Ngoja tuone pamoja na kujisifu kwaoUyo waliye pola Airport watajuta, trip shamba trip gereji.
Mlima matikiti na mpwa wa Robertinho.Kama alikua Hana sifa Nani aliyemleta Tanzania na kumsainisha mkataba kuwa Simba sc?
Nini majukumu ya head of scouting au ilikua ni zuga/njia nyingine ya kupiga hela?
NALIA NGWENA nilipoona afsa habari wa Simba sc Ahmedy Ally akisema kuwa "tumemchukua mchezaji wao pale airport"
Akili kubwa niligundua tu kuwa "head of scouting" ilikua ni zuga/mfanyakazi hewa asiyekua na kazi lakini timu bado inaongozwa kiswahili Swahili.
Uongozi umemtazama kipa mbrazil mazoezini wakaona hapa hakuna kitu tumepigwa na wakaamua kuzusha kuwa ana jeraha kaumia mazoezini.
Ukweli ni kwamba Hana sifa/ubora wa kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Nawasilisha hoja.View attachment 2703185
Nawe unaamini mtu na akili zako unaweza kuporwa airport?Uyo waliye pola Airport watajuta, trip shamba trip gereji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23]Mambo yamekuwa tofauti na matarajio
Sema wewe umekata tamaaSimba inakatisha Tamaa
Najaribu ku soma baadhi ya maoni na id za watu humu, nagundua kuna tatizo kubwaNawe unaamini mtu na akili zako unaweza kuporwa airport?
Kwa mtu ambaye hajawahi kusafiri wala kutokea Mgeni ndio unaweza kumueleza ujinga huu.
Hivi agent aongee na timu A halafu mchezaji aende timu B hizi ni hadithi za kwenye kahawa.
Hahaha haha,ni wewe huyu au mwingine? Dah kweli watanzania bado sanaSimba inakatisha Tamaa
Simba wa humu ni wajuaji mno,wanajua kila kitu, ukiwaambia ukweli matusi ..ila ni ukweli simba ina mbumbumbu wengi sanaMambo yamekuwa tofauti na matarajio
ππ Wahuni ni watu wabad sana. Kwa aina hii ya uhuni, mwekezaji yuko sahihi kabisa kukata tamaa.Kama alikua Hana sifa Nani aliyemleta Tanzania na kumsainisha mkataba kuwa Simba sc?
Nini majukumu ya head of scouting au ilikuwa ni zuga/njia nyingine ya kupiga hela?
NALIA NGWENA nilipoona afsa habari wa Simba sc Ahmedy Ally akisema kuwa "tumemchukua mchezaji wao pale airport"
Akili kubwa niligundua tu kuwa "head of scouting" ilikua ni zuga/mfanyakazi hewa asiyekua na kazi lakini timu bado inaongozwa kiswahili Swahili.
Uongozi umemtazama kipa mbrazil mazoezini wakaona hapa hakuna kitu tumepigwa na wakaamua kuzusha kuwa ana jeraha kaumia mazoezini.
Ukweli ni kwamba Hana sifa/ubora wa kucheza ligi kuu ya Tanzania.
Nawasilisha hoja.View attachment 2703185
Pole sana kwa maumivu unayopitia. πSimba inakatisha Tamaa