Elections 2010 e-Voting ndio suluhisho

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,418
Reaction score
9,209
Hivi karibuni tumeshuhudia chaguzi zilojaa utata ivory coast ,Nigeria,Uganda,hapa nyumbani Tanzania na Kenya mwaka 2007:-Kumekuwepo tuhuma za kuchakua matokeo.

Tuhuma ambazo zimesabashi kuvurugwa amani,,vifo na uharibufu mkubwa wa mali. Je, E-voting ndio muarobaini wa hili gonjwa uchakachuaji? E voting imetekelezwa India kwa manifikio makubwa.

Je, hili linawezekana Africa ua tunahitaji home grown solution mfano mlolongo system?
 
Niliwahi kushauri kuhusu Electronic voting...itachukua miaka 100 kua applicable africa! ... Watawala hawajiamini hivyo kuruhusu mfumo huu ni kujizika mwenyewe!
 
Niliwahi kushauri kuhusu Electronic voting...itachukua miaka 100 kua applicable africa! ... Watawala hawajiamini hivyo kuruhusu mfumo huu ni kujizika mwenyewe!

Mbona Bush alichakachua kura kupitia evoting? Hata hivyo kenya watatumia evoting katika Uchaguzi wao mwaka kesho
 
Lakini vijana wa IT ni muda wao wa kula kupitia taaluma yao!
 
inawezekana ila watawala watakataaaaaaa kwa hofu ya kukosa uwezekano wa kujipa ushindi. wazo ni zuri na inawezekana maandalizi ya mapema yakiwepo, miundo mbinu na elimu ya kina.
 
Mh!.. E-voting ndo tutalia zaidi!
Sure. Yaani mnaibiwa kimya kimya kwa kutumia 'simple piece of code'. E-voting inatakiwa itumike kurahisisha zoezi la upigaji kura na kutoa matokeo mapema. Si suluhisho la wizi wa kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…