EABL Wanataka kununua Serengeti kwa udi na uvumba

MtuKwao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2006
Posts
267
Reaction score
71
Kuna tetesi kwamba EABL (Kenya) wanatamani sana kuinunua Serengeti, ambayo imneweza kutoa ushindani mzuri sana kwa TBL pamoja na kwamba ina brand moja tu ambayo ni popular.

Kuna tetesi pia kwamba TBL wameiga formula ya Serengeti yanye wanywaji wengi na kutoa Ndovu Premium ambayo wanywaji wanasema ni Serengeti kwa jina jingine.

Kuna tetesi pia kwamba TBL wanagawa kreti za bure kwa mabaa yatakayokubali kutouza bia ya serengeti!

Wenye ukweli watueleze.

Kama Serengeti wanataka mtaji, wauze hisa kwa watanzania.
Kama TBL wanafanbya mchezo mchafu ili wabaki wenyewe, Serikali ishauriwe kuingilia kati kulinda ushindani na ajira za watanzania ...
 
Ungesema mapema basi kuwa ni Serengeti beer.

Walevi utawajua tu.....
 


mizungu sio mijitu mizuri hata kidogo..]
geeorge and dragon hawauzi serengeti kabisa...
Kisa kiwanda cha wadosi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…