EAC an SADC - Rais Uhuru na Ramaphosa wa Afrika Kusini wapigiana simu na kujadili mikakati dhidi ya Corona

EAC an SADC - Rais Uhuru na Ramaphosa wa Afrika Kusini wapigiana simu na kujadili mikakati dhidi ya Corona

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Viongozi wa SADC na EAC wameanza kuunganisha juhudi za mikakati yao dhidi ya kirusi

======

An image of President Uhuru Kenyatta and South African President Cyril Ramaphosa

President Uhuru Kenyatta shakes hands with South African President Cyril Ramaphosa

President Uhuru Kenyatta held a phone conversation with South African President Cyril Ramaphosa on his success in fighting Covid-19 and also discussed an upcoming summit to be hosted in Kenya.

As of May 10, South Africa had the highest cases in the continent at nearly 10,000 with over 150 deaths and over 3,000 recoveries with commendable success in handling the virus that led to an easing of the lockdown.

Ramaphosa took to Twitter on Sunday, May 10, to reveal details of a phone call he had with Uhuru over the state of Covid-19 in South Africa.

"I had a good phone call the other evening with His Excellency President Kenyatta of the Republic of Kenya.
"The President has commended South Africa for our rigorous mass screening and testing programme as part of our fight against the Covid-19 pandemic.

"I share President Kenyatta’s belief that Africa is uniting around a coordinated approach to curb the spread of the coronavirus," tweeted Ramaphosa.

The South African president who doubles up as Chairperson of the African Union (AU) also revealed details of a summit that is set to be hosted in Kenya.

"And I urge our sister countries to consider intensifying their testing programmes in line with the new realities brought on by this pandemic.

"As Chair of the African, Caribbean and Pacific Group of States (ACP), Kenya intends to convene a mini-summit of ACP and has invited South Africa, in our capacity as AU Chair, to participate in the upcoming ACP Summit," wrote Ramaphosa.

Kenya hosted the 9th African, Caribbean and Pacific summit, titled "A Transformed ACP Committed to Multilateralism", in December 2019 at the Kenyatta International Convention Centre.

In the summit, Heads of State and governments from at least 10 countries discussed ways of reducing, preventing and overcoming terrorism and insecurity to enhance development while also taking into consideration socioeconomic and cultural issues.

Source: kenyans.co.ke
 
Mbona hakuna hata chembe ya SADC wala EAC hapa?, Ramaphosa hana wadhifa wowote ule SADC kwa sasa zaidi ya kuwa ni mwanachama wa kawaida, vivyo hivyo Uhuru Kenyatta hana wadhifa wowote ule EAC kwa sasa, unaposema SADC na EAC unamaanisha nini?

Hapo ni mazungumzo kati ya nchi mbili, Kenya na South Africa. Au kutokana na Ramaphosa kuwa mwenyeketi wa AU kwa sasa, unaweza kusema ni mazungumzo kati ya Kenya na AU, hapo hakuna muwakili hata mmoja wa EAC wala SADC.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hakuna hata chembe ya SADC wala EAC hapa?, Ramaphosa hana wadhifa wowote ule SADC kwa sasa zaidi ya kuwa ni mwanachama wa kawaida, vivyo hivyo Uhuru Kenyatta hana wadhifa wowote ule EAC kwa sasa, unaposema SADC na EAC unamaanisha mini?.

wazee wa majungu usiwashangae! wazee wa kushobokea nchi nyingine! SA hawaingii bila visa!

This is what Ramaphosa said

Capture.PNG

Angalia walikuwa wanashobokea Ethiopia 👇
Is it time for Kenya to Embrace Ethiopia and dump Tanzania? - JamiiForums

Kenya na Ethiopia 2019 ndio nchi zilizotumia pesa nyingi kujihami - JamiiForums
 
Hahahaha, huku Ethiopia inatungua ndege ya Kenya kijeuri. Kenya hawana Jirani wa kumtegemea zaidi ya Tanzania, majirani wengine wote wanaopakana nao wameshakwaruzana na wanaendelea kukwaruzana.

Ethiopia sasa hivi wanatengeneza ushirika na Somalia ili kuibana na kuitenga Kenya, Uganda yeye ameamua kuwekeza pesa nyingi katika bomba la mafuta na bandari ya Tannga.

Its pretty embarassing aisee! See a month earlier...

Capture.PNG

And now this is what happening ENDF imetungua ndege ya Kenya! There is no way Ethiopian Army can shoot down a Kenyan plane in Somalia without Ethiopian PM consent! Mjinga Kenya ndo wali wake!

Capture.PNG

#Akilizahandshakenimatope#

CC: kikihboy Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala
nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Blaza kule chattle amegoma kabisa kupokea simu, wala kujibu sms hata za swaiba wake Raila Odinga. Sijui anaogopa kusutwa. Hatare

Tetesi kule Arusha mochwari zote zimeshajaa, wasafiri walioweka booking za kwenda kwa "Sir God" wamelazwa mpaka kwenye korido. Kule Ununio makazi yameshajaa.
 
Tetesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blaza kule chattle amegoma kabisa kupokea simu, wala kujibu sms hata za swaiba wake Raila Odinga. Sijui anaogopa kusutwa. Hatare

Tetesi kule Arusha mochwari zote zimeshajaa, wasafiri walioweka booking za kwenda kwa "Sir God" wamelazwa mpaka kwenye korido. Kule Ununio makazi yameshajaa.

Hatari sana mpakaa mumeanza kufungiwa na mataifa yote ya SADC, muhimu kuacha kuendelea kukaidi.

2395198_Screenshot_20200510-151240.jpg
 
Mbona hakuna hata chembe ya SADC wala EAC hapa?, Ramaphosa hana wadhifa wowote ule SADC kwa sasa zaidi ya kuwa ni mwanachama wa kawaida, vivyo hivyo Uhuru Kenyatta hana wadhifa wowote ule EAC kwa sasa, unaposema SADC na EAC unamaanisha mini?.

Hapo ni mazungumzo kati ya nchi mbili, Kenya na South Africa. Au kutokana na Ramaphosa kuwa mwenyeketi wa AU kwa sasa, unaweza kusema ni mazungumzo kati ya Kenya na AU, hapo hakuna muwakili hata mmoja wa EAC wala SADC.

Sent using Jamii Forums mobile app
SA ndio SADC na SADC ni SA.
HAO wengine wote ni praise team-maskini
 
Back
Top Bottom