Go hang yourself,...wabongo sijui tunaogopa nini na hiyo EAC? nafikiri kila kitu in EAC is a win win kwa TZ,mnapenda stupid borders sijui inasaidia nini? hao mnaowasema Kenya,Rwanda,Uganda etc wameshatupiga bao kiuchumi na wanaenda mbele kwa kasi sisi tumebaki kuwaogopa mafisadi na ninafikiri tunawahitaji wao zaidi kuliko wanavyotuhitaji...kuna mtu katoa point kama EAC ingekuwepo hata hiyo EPA isingetokea na kama ingetokea wangeshughulikiwa kisawa sawa..say YES to EAC!
Pole sana mpuuzi wewe na hizo useless arrogance zako ,kufunga borders ulizowekewa na mkoloni ndio unafikiri italeta maisha bora? then eti ...more than we need them,akili za kirofa hizi na usiishie hapo washauri marofa wenzako na mikoa yote iwekewe passport zakeGo hang yourself,
Unategemea someone aje asolve your problems
Kwaiyo unadhani ni nani angesuluhisha hiyo epa yako if not you. Mjinga wewe!!
This kind of thinking is absolutely stupidity.
No one in your lifetime will ever spare his beautiful time to solve your problems, labda mama yako mzazi..
And let me remind you my countrymen, our problems will be resolved by ourselves,
Hata hao Kenyans need that EAC for their own benefits, usijedhani they need it to benefit us as watz,
What we need is to set our rules which protects our interests first, then we get them enforced..
Otherwise we better stay without this federation..
They need it more than we need it, we need to think careful on this..
Hahahaha. Inauma eti.Pole sana mpuuzi wewe na hizo useless arrogance zako ,kufunga borders ulizowekewa na mkoloni ndio unafikiri italeta maisha bora? then eti ...more than we need them,akili za kirofa hizi na usiishie hapo washauri marofa wenzako na mikoa yote iwekewe passport zake