Nlivoielewa hiyo standby force i think focus yake ipo zaidi kwenye TRANSNATIONAL crimes. Cross border lakini still within EAC.
Anyway all forms of military cooperation are welcome especially kwa nchi zetu hizi zinazotaka kuungana. Tunatakiwa tuwe na vitu kama Europol.......an East African Arrest Warrant....e.t.c.