EAMWS Isingepigwa Marufuku Haya Yasingewezekana

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA

Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini yasingewezekana kutokea wala kuwapo.

Mizani ingekuwa sawasawa baina ya waumini wa pande zote mbili.

Allah atawalipa kwa nia zao wazee wetu waliounda EAMWS na kuweka mipango mizuri ya elimu.

Kuwa hawakufanikiwa sisi leo hatuna kinyongo na wao.

Siku zote tutawakumbuka kwa dua njema.

1728230670697.jpeg

1728230759183.jpeg
 
twende kaz mzee wetu...enheee
 
dini nyingine ile iko kwenye sanaa, michezo na burudani si mbaya pia
 
Ila mzee Mohamed Said, Hivi kweli dunia ya leo bado unaamini dini ina nafasi katika struggle za maisha binafsi?

Kiukweli mimi I care less hata kama Sa100 angeteua waislamu tuu kwenye cabinet yake. Sioni la tofauti au la maana.
Ok tulimsema JPM kwenye demokrasia, unataka kuniambia kwamba saa100 yupo any better?

Deal na changamoto za maisha wacha kutafuta visingizio. Mzee you’re 70+ bado una ugomvi na maamuzi yaliyofanywa Zaidi ya miaka 55 iliyopita?

I guarantee you. Leo hata ungeteua waislam tuu kwenye hii serikali……sioni la maana litakalobadilika.
They ALL WANT TO EAT.
 
Thubutu.

Ulivyoandika jina. ni mnwgik

Jinsi ulivyoandika jina la Rais kwa dharau, unaonesha kuwa u mnafik.
 
EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA

Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini yasingewezekana kutokea wala kuwapo.

Mizani ingekuwa sawasawa baina ya waumini wa pande zote mbili.

Allah atawalipa kwa nia zao wazee wetu waliounda EAMWS na kuweka mipango mizuri ya elimu.

Kuwa hawakufanikiwa sisi leo hatuna kinyongo na wao.
Siku zote tutawakumbuka kwa dua njema.

View attachment 3117078
Shukuruni ilifutwa na wajanja wschache mkasoma elimu ya kisasa. Mungeishia kwenye madrasa tu kama ingeendelea kuwapo.
 
Kabla ya hivi vyuo vya makanisa, kulikuwa na vyuo vya serikali, je vilikuwa vinadahili kwa ubaguzi wa kidini? Kuna ushahidi usioacha shaka wa systemic discrimination? Wakati vyuo vinavyomilikiwa na makanisa, vimeruhusiwa ku-operate bado kulikuwa na katazo la kujenga vyuo vinavyomilikiwa na waislamu? Miaka michache hapo nyuma mlipewa chuo pale Morogoro, nilidhani kingefunika kwa kuwa chuo cha mfano bora, lakini ukiwauliza walopita hapo wanakilalamikia...... kwa nini usingejikita na hili? Marehemu Mzee Mwinyi, baadae Kikwete, hao wote hawakuona sababu ya kupromoti udini kwenye elimu? Kwa sasa hata vyuo vya makanisa vinapokea hata waislamu, bado unahisi kuna tatizo? Labda pia uwaulize waislamu wenye miaka 50 kushuka chini, kama wamepata kadhia ya kusoma/kusomesha watoto wao kwenye taasisi za elimu kwa kigezo cha dini. Na pia, unapotaja matajiri 10 wa juu kabisa Tanzania hii, zaidi ya nusu utakuta ni waislamu, wameshindwandwaje kupambania vyuo vya kiislamu, mpaka uendelee kukosa usingizi kwa kosa la nusu Karne iliyopita? Hata hao matajiri, watoto wao wamewapeleka kwenye vyuo secular vya Marekani, Uingereza na Uropa, sio Saudia wala Iran, hapana cha kujifunza hapo?
 
Itoshe kusema wewe mzee ni mpumbavu. Umeandika ushuzi mtupu
 
Hapo unatafuta sababu ya kuilaumu serikali lakini lile suala lilikuwa mgogoro wa waislamu wenyewe.
 
Back
Top Bottom