Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Thubutu.Ila mzee Mohamed Said, Hivi kweli dunia ya leo bado unaamini dini ina nafasi katika struggle za maisha binafsi?
Kiukweli mimi I care less hata kama Sa100 angeteua waislamu tuu kwenye cabinet yake. Sioni la tofauti au la maana.
Ok tulimsema JPM kwenye demokrasia, unataka kuniambia kwamba saa100 yupo any better?
Deal na changamoto za maisha wacha kutafuta visingizio. Mzee you’re 70+ bado una ugomvi na maamuzi yaliyofanywa Zaidi ya miaka 55 iliyopita?
I guarantee you. Leo hata ungeteua waislam tuu kwenye hii serikali……sioni la maana litakalobadilika.
They ALL WANT TO EAT.
Jinsi ulivyoandika jina la Rais kwa dharau, unaonesha kuwa u mnafik.Ila mzee Mohamed Said, Hivi kweli dunia ya leo bado unaamini dini ina nafasi katika struggle za maisha binafsi?
Kiukweli mimi I care less hata kama Sa100 angeteua waislamu tuu kwenye cabinet yake. Sioni la tofauti au la maana.
Ok tulimsema JPM kwenye demokrasia, unataka kuniambia kwamba saa100 yupo any better?
Deal na changamoto za maisha wacha kutafuta visingizio. Mzee you’re 70+ bado una ugomvi na maamuzi yaliyofanywa Zaidi ya miaka 55 iliyopita?
I guarantee you. Leo hata ungeteua waislam tuu kwenye hii serikali……sioni la maana litakalobadilika.
They ALL WANT TO EAT.
Shukuruni ilifutwa na wajanja wschache mkasoma elimu ya kisasa. Mungeishia kwenye madrasa tu kama ingeendelea kuwapo.EAMWS ISINGEPIGWA MARUFUKU HAYA YASINGEWEZEKANA
Laiti EAMWS isingepigwa marufuku na serikali mwaka wa 1968 kuwa ni jumuiya haramu na Chuo Kikuu kikajengwa hayo utakayosoma hapo chini yasingewezekana kutokea wala kuwapo.
Mizani ingekuwa sawasawa baina ya waumini wa pande zote mbili.
Allah atawalipa kwa nia zao wazee wetu waliounda EAMWS na kuweka mipango mizuri ya elimu.
Kuwa hawakufanikiwa sisi leo hatuna kinyongo na wao.
Siku zote tutawakumbuka kwa dua njema.
View attachment 3117078
Mpaji...Hapo unatafuta sababu ya kuilaumu serikali lakini lile suala lilikuwa mgogoro wa waislamu wenyewe.