Ni kama fasheni siku hizi kukuta earswaps kwende gari, dressing table nyumbani na hata ofisini mwili una jinsi yake ya kujiswafi na kujilinda, na mojawapo ya maeneo hayo ni masikioni.
Ile nta inayokaa masikioni ni aina fulani ya fluid inatayo ambayo hunasa vumbi na uchafu mdogomdogo usiingie ndani ya sikio na kudisturb mfumo wake.
Hivyo ndugu unapotumia ear swaps daily husafishi sikio bali unaondoa kitu muhimu mno kwa ulinzi wa sikio lako