wengi wao ni wezi hakuna kazi wala kibarua wanakusanya tuuu pesa hao, nilikutana na moja wanataka US$ 130, nkaamua kuwapotezea, wakanambia basi toa 40, nakagoma, wakadai basi hata 10 tukupe kazi pia nkagoma sasa kama ni siriaz hizi range ni za nn kama wamachinga!!!!