"Hazikatiki" unajua maana ya hilo neno lakini?Jf haisupport kuweka attachment za screenshot za wateja walonunua ningewawekea jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kwanini?Kaka vipi. Unaweza nipatia namba ya simu ya huyu mteja? Ntakuungisha Earphone na USB pls broo
Mkuu nadhani hata ww umeelewa
Mkuu nadhani hata ww umeelewa
Mbona kama unatia huruma eleza bidhaa kwakuinadi... Hakuna atakayenunua kwa kukuonea hurumaJf haisupport kuweka attachment za screenshot za wateja walonunua ningewawekea jamani
Sent using Jamii Forums mobile app