East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

Rekebisho dogo Ikulu ni neno la kinyamwezi makao makuu anapoishi mtemi Si wagogo na hata mfumo unaotumiwa nikama huo ndio maana kuna Mnilkulu amabalo pia ni neno la kinyawezi mtu anayeangalia mambo ya ikulu

 
shukrani sana nimeisoma na nimeielewa nadhani wanaojua historia zaidi yetu waweza kujua zaidi mwingiliano wa haya makabila na chanzo cha utani wao, ninavyojua kiasi hata jina la wagogo walipewa na wasukuma/wanyamwezi walikuwa wakiwashambulia misafara yao wakielekea pwani wakiwa wamejificha kwenye magogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…