East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

Though Dodoma is a progress in making, its time for other East Africans to get to know what plans have so far been executed.

I feel proud of the achievement so far and i am daring to compare these two cities.

acha kujifurahisha basi. Yani ufananishe Dom na Nairobi?
Hauko serious wewe
 
Ikulu sio maneno ya kigogo 😝😝 ni maneno ya kisukuma/kinyamwezi uwe unauliza hata kidogo basi
Rekebisho dogo Ikulu ni neno la kinyamwezi makao makuu anapoishi mtemi Si wagogo na hata mfumo unaotumiwa nikama huo ndio maana kuna Mnilkulu amabalo pia ni neno la kinyawezi mtu anayeangalia mambo ya ikulu



Ikulu ni neno la kigogo yaani makao ya mtemi (mteni kwa kigogo ni chifu). Mtemi wa wagogo aliyeitwa Mazengo alikuwa anakaa Mvumi Ikulu. Hata hivyo haitashangaza mameno hayo kufanana kwakuwa makabila yanayo pakana huwa yana maneno yanayofanana.

Navyofahamu, wagogo ndiyo waliowapa wanyamwezi jina, kwa lugha ya kigogo "nyamwezi" ina maana magharibi, hivyo wenyeji waliotoka upande wa magharibi mwa Dodoma wagogo waliwaita "wanyamwezi" yaani wamagharibi.
 
Jengo kwa ndani wala nje alipo sawa nivizuri kutafuta madizaini profesheno siyo makanjanja tunaowatumia sasa
For a start si baya! Mind u Msalato tunaanza from the scratch! So $250 mln price is reasonable!
 
😝😝😝 hujawahi kufika Mwanza kuna maeneo mengi tu yanaitwa Ikulu na Ikurwa na neno Ikulu lipo kwenye kabila la kisukuma
Na linamaanisha nn kwa Kisukuma? Nyumba ya Mtemi pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…