Baada ya Museven kutaja kuwa Tanzania ni sehemu ya hija kwa wapigania uhuru wa Africa. Rais wa Afrika ya kusini aitaja tena kuwa Tanzania ni Macca ya wapigania uhuru.
Hii ni faida kubwa sana kwetu East Africa. Na inatakiwa iwe mfano hata kwa wenzetu wakenya waache ugomvi usio na tija.