East Africa: Maendeleo ya mradi wa usimikwaji wa mfumo wa rada nne (4) za kuongozea ndege

East Africa: Maendeleo ya mradi wa usimikwaji wa mfumo wa rada nne (4) za kuongozea ndege

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,887
Wapenzi watazamaji na wasikilizaji ninawaletea mfululizo wa maendeleo ya uimikwaji wa rada nne za kisasa katika anga la Easy Africa. Hii ni kutoka Tanzania pekee.

1540301815589.png

Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
 
Ile rada ya Chenge imesha expiry?maana tuliambiwa ndiyo bora kuliko zote afrika 40bn zikayeyuka
 
Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
Tuwafikie mpo wapi
hakuna lolote
Tunafunga Rada nne
Ambazo zina chukua umbari mkubwa sana Mpaka Anga la Kenya
kupitia Kilimanjaro
Mwanza itachukua Uganda, Rwanda mpaka Burundi
Mbeya itachukua mpaka Malawi Zambia na sehemu ya Msumbiji
 
Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
Aisee, hata Kilimanjaro haitowi puvu hivi.

Mjipange kutulipa mkipitisha ndege zenu kwenda na kurudi kutika nchi za kusini mwa Afrika.
 
Wacha kusema "hii ni kutoka Tanzania pekee" umesahau sisi ndio tunaowalinda? Bila sisi mgekuwa mumeshambuliwa tayari
Tumeshambuliwa na nani!
Rada ilikuwepo Yajeshi au za jeshi
ispokuwa nikwamba Tanzania nikubwa uwwzo wake haukuweza kuchukua eneo lote la Tanzania
Sasa tumeamua kuchukua sio eneo lote la Tanzania bari East Africa nzima
 
Ha ha ha ha ha kweli hatuwezi mkuu kwa wizi wenu hatuwakuti ata
Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
 
Tumeshambuliwa na nani!
Rada ilikuwepo Yajeshi au za jeshi
ispokuwa nikwamba Tanzania nikubwa uwwzo wake haukuweza kuchukua eneo lote la Tanzania
Sasa tumeamua kuchukua sio eneo lote la Tanzania bari East Africa nzima
Sisi tuna rada zetu. Hamjachukua East Africa, mmechukua tu Tanzania. Mumetuchosha, tulikuwa tunafanya kazi ngumu ya kulinda jirani asiyekuwa na uwezo
 
Yaani radar za Kenya ndio zimekuwa zikilinda anga ya nchi yao miaka hiyo yote, sasa hivi hii 2018 ndio wanajipiga vifua kwasababu wamepata zao. Hahaa! [emoji1]
Halafu wanaturingia sisi ilhali walikuwa wanatutegemea sisi kuwajuza ikiwa adui ameingia angani mwao. Asante ya punda ni mateke. Badala ya wao kutuambia asante, wanakuja humu kuturingia. Dunia ina mambo.
 
Mtakimbizana na Kenya ila hamtawahi kutufikia Ng'ooooo. Ukiumwa na hilo mwaga povu hadi uzi ufikie ule wa Mombasa vs Dar es salaam mwanze kulilia mod eti wakenya wanaidhalilisha Dar.
Sidhani kama suala la maendeleo ni la mashindano. Yes wanasimika rada nne lakin sidhani ninkwa ajili ya kushindana na kenya.
 
Huwez kusema kitu kwasababu huu ni ukwel na utabak kuwa ukweli kila nyani wakenya lazima atambue hilo radar zetu zita monitor air space ya EAC yote Aluta continual vivaaaaaaa Tanzania .
[emoji40][emoji40][emoji40] 🙄 [emoji1]
 
Nilishangaa sana Tanzania kwa miaka yote hii tangu uhuru yaani wamekua hawana radar, walikua wanategemea za Kenya.
 
Back
Top Bottom