East Africa military operations during the first world war

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
704
Reaction score
572
Kama una muda unaweza kuona jinsi wajerumani walivyopigana na waingereza hapa Afrika ya Mashariki wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia.

Waingereza walijaribu kuingia Tanga ili wafike Dsm chap chap lakini wakafeli.

Baadae walivamia kupitia Himo, then Moshi. Jeshi lao liliongozwa na Luteni Jenerali Smuts (ambae baadae alikuja kuwa kiongozi wa Afrika kusini). Jeshi la Wajerumani liliongozwa na Paul von Lettow-Vorbeck. Baadae Hitler alipoingia madarakani huko Ujerumani, alimsifia Paul von Lettow-Vorbeck kwa ujasiri wake during WWI.

Military operations : East Africa / compiled by Charles Hordern ; founded on a draft by the late Major H. Fitz M. Stacke. Sketch maps by the compiler.
 
Z12f,
Ahsante sana kwa historia hii.

Naingia Maktaba In Shaa Allah nitakuwekea hapa yaliyoandikwa na Kleist Sykes katika kumbukumbu zake za vita hii WWI yeye akiwa askari katika jeshi la Wajerumani.
 
WanaMajlis,
Nadhani hayo yatasaidia kuhifadhi historia yetu.
 
Back
Top Bottom