East Africa Radio, hivi viongozi wa hii redio wana mpango gani?

Hata EATV wana vipindi hovyo sana ujinga ujinga tu!
 
Sasa mtoa post, unalalamikia mambo hayo madogo EA Radio. Je, ukisikia ya RFA na ndugu yae Star TV ya huku Mwanza si ndio utazimia kabisa!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…