Here in Kenya, we're way too diverse than our East African peers. Talk of rugby, women volleyball, long distance running etc.Football : Uganda
Music : Tanzania
Comedy: Kenya
...... tukipeana utwezana .........Halafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
...... tukipeana utwezana .........
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...... tukipeana utwezana .........
Music BongoFootball : Uganda
Music : Tanzania
Comedy: Kenya
[emoji23][emoji23][emoji23]ntawezana...... tukipeana utwezana .........
Hapo kabla kabla ya kutoa wimbo wako ni lazima upitie BASATA ukahakikiwe...siku hizi ni short cut mpaka wimbo uwe viral mitaani ndio bashata (barshutter)waje kukufungiaHalafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
Hapo kabla kabla ya kutoa wimbo wako ni lazima upitie BASATA ukahakikiwe...siku hizi ni short cut mpaka wimbo uwe viral mitaani ndio bashata (barshutter)waje kukufungia
Hapo ndipo shida inapoanzia..UKIRITIMBAInawezekana basata wanazingua, ukifuata taratibu unaweza subiri miezi 6.[emoji1]
Hakika vijana wamezidi kutoa pumba sahvHalafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
Ni Kweli nyimbo za kibongo zina porno sana, ila kwa porno ninyi hatuwaezi. Sema tu wasanii wenu waimba porno hawasikiki ( hawahit )Halafu mpunguze porno kwenye nyimbo zenu za Kibongo, imekua aibu kuziskliza maeneo yenye watu wa heshima au mbele ya watoto, nyimbo zimejaa maneno ya kikashfa.....
Yaani tu... jana mchana tulikua tunakula sebuleni halafu kwenye laptop nimeachia nyimbo za YouTube zinacheza moja baada ya nyingine, ghafla ukaja wimbo wa Harmonize na Nandy unaoitwa "acha lizame", ilibidi nizime kabisa maana sio kwa yale maneno..."Usiku nipe shoti ama nishike magoti" "Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea Acha lizame!" "Kutwa nadindinsha mkonga"Hakika vijana wamezidi kutoa pumba sahv
Aah wapi!... Hiyo yenu labda inaishia huko buza tuu.🤣😜 Vipi hapo kwa raga na voliboli?..Comedy hamna mpinzani, long distance running hizo hata buza huku tupo vizuri.
Comedy hamna mpinzani, long distance running hizo hata buza huku tupo vizuri.