East Africa to use 1 currency by 2020.

You're very stupid Joto. Yani utamkana hadi mamako mzazi. Very useless.
Amekwambia kuna nchi east africa zina deni of 2b usd hakusema tanzania ndio ina deni hilo kama hujui kiswahili sema ufahamishweπŸ˜‚πŸ˜‚
 
71% of kenyan debt( Internal and external) is foreign currency denominated equal to $39bn.
Naona wajinga hapa wanafikiri kenya inapo omba mikopo kwa benki za ndani kama baclays,stanchart etc inaomba kwa KSH..
Haha..Jubilee trolls ni vilaza wakiajabu

Vizuri kuina EAC inaendelea kujiunganisha pamoja kama 1 economic block..Si lazima Jubilee iwe hapo
 
Hahahahahahahahaha, Kama kawaida yenu kupika data. OK ni sawa Tanzania inadaiwa kuliko Kenya, hatutaki kuwasambazia madeni yetu, kila mtu abaki kwake na pesa yake na madeni yake, tuone nani atakaye fungishwa ndoa na mchina.
Heh! Ni mambo ya ndoa tena?
 
H
Hajui internal debt ina effect kiuchumi kuliko external debt. Serikali inakopa pesa zake yenyewe.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Banks zinafanya biashara na Serikali. Engineer wa breaks[emoji23][emoji23]
External pia. Sababu you need to repay in foreign currency
 
External pia. Sababu you need to repay in foreign currency
External effect yake ipo katika financial pekee, yaani kulipa pesa nyingi kwasababu kwanza unalipa kwa kutumia foreign currency, pia kwasababu unalipa kwa interest, lakini uzuri wake kama hujapata pesa ya kulipa unaweza ukaomba uongezewe muda zaidi hadi utakapo pata uwezo wa kulipa.

Internal debts ni kama matumizi ya nyumbani, lazima ulipie bills everyday, week and months, usipolipia maji, umeme vinakatwa, huwezi pata chakula, na mtoto anafukuzwa shule.
 
Ukiona mtu akifurahia internal borrowing tena kwa foreign currency, Jua huyo ni kichaa..
Hii sasa nikama kuomba kijakazi wako pesa tena kwa sarafu za kigeni.. Ukikosa kumlipa ama ukichelewesha anaenda zake..unabaki bila kijakazi na bado mkopo haujalipa
 
Debt is a debtπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…