East African Federation (EAF) public Views

Ndugu zangu wanajambo ninafuraha sana maana sasa watanzania wanaweka msimamo mzuri. Mijadala ya EAF sasa wabongo wengi wana kataa "fast tracking". Kweli wengi tunashindwa kuelewa nini hasa sababu ya fast tracking...ni kama unahamu na mtoto na kwa kuwa mkeo ni mjamzito basi unaharakisha afanyiwe operesheni kabla ya mda wa kuzaa hujafika ili wewe upate mtoto..je, hapo utapata mtoto au unataka mkosa?
Wabunge walijadili vizuri sana jambo hili mbele ya kamati ya Wangwe, wengi walitaka waambiwe kwa nini tuharakishe?
Cha kusikitisha ni kwamba leo nimeona taarifa kwenye chombo kimoja cha habari kuhusu serikali ikijibu maoni ya wabunge kwa kusema hayo maoni ni yao tu sio ya watu wanaowawakilisha. Siamini serikali yetu inataka tutumbukiza kwa nguvu EAF. Kama ni hivyo basi awamu hii ndo itakuwa awamu mbovu kuliko zote na historia itaihukumu.

Sitaki kupoteza Utanzania kwani hata Utanganyika uliniponyoka bila ridhaa yangu.
 
TzPride,

Hilo si kosa la Tz pekee... Even Uganda and Kenya. Our Parliaments have no say over the ruling governments!

Believe me or not; ila ukweli ni kuwa wabunge wote wa Afrika Mashariki wanapelekeshwa na wamesahau kuwa wao ndiyo nguzo kuu ya Serikali na ndiyo serikali yenyewe.

Hawana makucha. Wanaburuzwa? Sijui mimi labda Zitto atueleze. Kuna mambo mengine hata ukisikia unachoka kabisa. Sasa just imagine liwe ni Shirikisho la kisiasa!!! Hapo ujue ndo Muungano wa Kikwete, Mu7 & Kibaki and then wabunge wanaambiwa TAYARI nao wanapiga makofi kwa kwa kwa kwa tena kwa vicheko vya kebehi he he he he he!

Mungu ibariki Afrika!
 

http://www.dailynews-tsn.com/page.php?id=6538

Angalau huku hakuna Muungano wa kisiasa na tumekwisha fanya mambo mengi pamoja na kunawafanya wakenya wawe na wasiwasi na soko lao hapa bongo.
 
Wana JF. nimeleta hii mada hapa kwani leo nilikuwa natembelea website ya Jeshi la polisi. Kwenye hii website http://www.policeforce.go.tz/muhtasari wa kesi za kusisimua.htm jeshi la polisi wameeleza vizuri kabisa madhara yanayosababishwa na Madawa haya ikiwa kama kupotea kwa nguvu kazi, uhalifu na hata kugharimu maisha. Ila kinachonishangaza nimeangalia kesi za toka mwaka 2001 kati ya kesi 10 ni kesi nne tuu zimetolewa hukumu na adhabu kali kabisa ni miaka 12. Naona hii adhabu haiwiani na kosa au na faida wanayopata wafanya biashara hawa na ndio maana Tanzania inakuwa ni njia ya kuyapitishia madawa haya na vijanaa wetu wengi wanaharibika uhalifu nao unaongezeka. Sasa hapa napata wasiwasi kama kweli serikali inatafanikiwa kushinda hii vita? Jambo lingine ambalo naomba wana JF wanieleweshe niwapi huwa hayo madawa yanapelekwa? Kila mara tunasikia madawa ya mamilioni yanakamatwa lakini sijawahi kusikia yanateketezwa au yanakopelekwa hii ni sawa na tunasikia polisi wamekamata au kuua majambazi lakini mali zilizo ibwa na pesa zilizoibwa sijui huwa inakuwa je. Pia sijajua Shwala zima la usalama wa raia kwa huu muungano wetu wa africa mashariki limewekwa vipi kwani matukio mengi ya uhalifu unakuta wahalifu wanashikiana mf. kutoka Kenya na Tanzania. nawasilisha Hoja.
 


The LRA's Joseph Kony is wanted by the ICC for war crimes



Story from BBC NEWS:
http://news.bbc.co.uk/go/pr/fr/-/2/hi/africa/6596383.stm

Kwa muda wa miaka 20 Museveni ameshindwa kuweka amani nchini mwake sasa ataweza akiungana kwenye jumuiya? Walipa kodi WTZ na nchi zingine wataanza kulipia matatizo yao endapo tutajiunga.
 
Mtoto wa mkulima hawa polisi hawana data! Mimi kuna kesi kibao nimeshadeal nazo za madawa ya kulevya.....Infact kuna jamaa wawili walipigwa miaka 30 pale High Court... I was involved kama amicus ! Kwa hiyo data hizo sio sahihi na ofcourse mwenyewe unajua nchi yetu tulivyo wazembe wa kukusanya data! Ila na Mahakama nayo iko slow saana!!! Labda serikali iamue kuajiri vijana wengi mahakimu na WAWEWEZESHE sio watawala kujilipa fresh harafu wanataka vijana tuwe wazalendo kwa kwenda kudeposit degree zetu vijijini kwa mshahara wa laki moja! Itakuwa ngumu kidogo hapo! Kama ni uzalendo tufanye wote, otherwise tutakuwa tunadanganyana kila siku na kuoneana!

Harafu what I can tell you from experience, hakuna watu wanaoharibu kesi kama Polisi Yaani wengi wao wako very incompetent especially wanapokutana na sophsicated laws zinazohusu mambo complex, maprosecutors kibao wamezoea kudeal na ujambazi wa mwaka 47! We unafikiri makosa kama cyber crimes, hizi narcotics, financial crimes...nyingi zinawashinda askari wetu kwa sababu either hawana elimu, elimu yao ndo ndogo au hawajajiendeleza kuendana na hali ya mabadiliko ya dunia! hii ukichanganya na some smart lawyers ambao wanajua kazi yao......watuhumiwa wengi wanaachiwa! kwa sababu ya poor prosecution au kukosekana ushahidi! Thats on professional level..ukiangalia na suala la rushwa...basi..ndo mambo yanaharibika kabisa.... Kwa hiyo tatizo ni kubwa than we may see or read in papers!
 



Hatishwi mtu lakini hao manyan'g** wanajua kwao ni wapi?
 
The biggest problem about this discussion is the lack of evidence in most of what the ant-EAC political federation are telling us, which necessarily amounts to shouting. For example, when a learned comrade Dr Harrison Mwakyembe tells us that 100 percent of his constituent members are opposed to the federation, when and how did he do a research to come up with these strongly worded comments?

And how can you substantiate William Shelukindo's comments that the fast tracking of the EAC is triggered by "insatiable thirst for [political] power"?
 
kadiri ya muono wangu ningependekeza kuwa Muungano wa Afrika mashariki usiende kasi hivi hasa katika kuziunganisha nchi hizo kisiasa kwani hicho ni kitu kisichowezekana.
Ni kitu kizuri sana kujiunganisha kiuchumi na kasiasa kila nchi ibaki huru na tuone kwanza huu muungano wa kiuchumi utatufikisha wapi.
Kitu kingine ni kwamba lazima tukubali kuwa wenzetu wa Kenye na Uganda wanatuzidi watanzania kwa ujanja na hivyo mwisho mwishoni kukiwa na HASARA kubwa basi ni sisi watnzania ndo tutakaoumia.

Mtanzania halisi na
Muumini kutoka CROATIA.
 
You are welcome Unregistered;

Kutokana na kuwepo kwa spammers wengi nadhani utatuwia radhi muda si mrefu tutazuia posts kutoka kwa wale wasiojisajili kwani kuna usumbufu sana.

Aidha; nakushukuru kwa mawazo yako na naamini wahusika wameyasoma na yanafanyiwa kazi.

Karibu
 
Doubts over graft remain as Dar gets $190m aid

By KEVIN KELLY

Kenya's economic resurgence is helping to power the growth of its East African neighbours, the World Bank's country director for Tanzania and Uganda has said in an interview last week.

"The outlook does seem promising in all three countries," said Judy O'Connor, an Irish national who has worked at the World Bank for more than 30 years. "Tanzania and Uganda are definitely benefiting from the strength of Kenya's economy."

Speaking to The EastAfrican from Washington, Ms O'Connor offered the positive appraisals two days after the bank approved a $190 million anti-poverty initiative for Tanzania and a $42 million credit to support education improvements for Zanzibar.

The bank also last week approved a $150 million loan to spur construction of the Bujagali hydropower project in Uganda.

Ms O'Connor praised the recent economic performance of both Tanzania and Uganda, adding that the two countries are also attacking corruption and reducing poverty.

Tanzania has achieved 10 years of strong economic growth despite increases in oil prices and damage to the farming sector due to drought, Ms O'Connor noted.

Uganda's economic expansion has been even more robust than Tanzania's during the same period, she added, pointing out that Uganda has also had to withstand "energy shocks."

"The high cost of energy is really hurting Uganda's economy," Ms O'Connor said. She expressed hope that the World Bank's favourable review will encourage private investors to help develop Uganda's oil and mineral deposits as well as its hydropower resources.

With all three East African economies remaining vibrant, the bank is taking a gentler tack on governance issues that had drawn pointed criticism in the past.

Ms O'Connor said the Kikwete administration is making "remarkable progress" in combating corruption while President Yoweri Museveni's government "is doing quite a bit" to build institutional capacity to fight graft.

Control over corruption has not advanced in Uganda to the extent that the World Bank had hoped, she said. But added that Uganda still scores better than many African countries on a corruption index compiled by the bank.

"The government is starting to put some teeth into its efforts to ensure accountability," Ms O'Connor said in regard to Uganda. "We would like to see more of those teeth."

She expressed almost unconditional approval of Tanzania's anti-corruption initiatives. Graft does remain a problem, Ms O'Connor acknowledged, adding, however, that "many aspects of the problem are being addressed."

She cited greater freedom of the press in Tanzania as an important factor in fighting corruption.

"There has been support from the top - from President Kikwete and senior officials - for the press to be more investigative," Ms O'Connor said.

Impressive economic growth rates are beginning to alleviate poverty in both countries that she monitors and advises, she added.

Some rural areas of Tanzania "are doing a lot better than others, depending on how well connected they are to markets," she observed. In Uganda, she said, the nationwide poverty rate has fallen to about 31 per cent in the past few years, which she termed "a significant improvement."

Ms O'Connor expressed reluctance to comment on political conditions in either Tanzania or Uganda, noting that the World Bank has "a mandate not to go into the political sphere."

But in response to a question about growing ethnic tensions in Uganda, she said she hopes "one would not use a single event to see a trend." Animosity toward Ugandans of Asian descent does, however, constitute "a potential issue that has to be understood and dealt with," Ms O'Connor added.

She also suggested that strains between Zanzibar and Tanzania mainland be effectively addressed.

"We see positive signs there," she said. "The two leaders do seem committed to resolving tensions."

The World Bank will encourage Tanzania in the coming months to focus on education, infrastructure and energy, Ms O'Connor said.

"We want to see attention given to the quality as well as to quantity of education," she declared.

Tanzania should also give priority to transportation projects that will improve linkages between the country's interior and its Indian Ocean ports, she said.

"With greater private investment," she added, "the country will have a more reliable energy supply."

Source: http://www.nationmedia.com/eastafrican/current/News/News300407.htm
 
Rwanda joins EAC in June (The New Times)
May 01, 2007 at 07:44 AM


REGIONAL COOPERATION - The East African Community Secretariat plans to formally admit Rwanda in the regional bloc on June 18 in Kampala during the 9th Heads of State Summit, The New Times has learnt. The ceremony, where Rwanda is expected to be given full membership status in the regional economic bloc, including voting rights, comes weeks before July 1st which the Community had set last year.

The date of accession was announced over the weekend by Beatrice Kiraso, the Deputy Secretary General of the EAC in charge of fast-tracking the political federation, during the East African Media Summit at the Grand Regency Hotel in Nairobi, attended by media owners, media chief executives and journalists from Rwanda, Burundi, Kenya, Uganda and Tanzania.

With Rwanda and Burundi's expected admission, the region's domestic market will grow to 120 million.

The business community in the region, who attended the summit, said that the market and resources in the five countries were enough to spur economic development and make the region a business hub.

The head of EAC directorate of corporate communications and public affairs, Magaga A lot, urged the country and people of East Africa to unite if they were to enjoy the potentials, drawing comparison to the United States.

"We see an effusion of expression of admiration for the United States of America, not anything else, but the United States of America's stupendous wealth and awesome power.

Indeed about every East African I meet on the streets today just to go to the United States."
"But the Unites States is not endowed with all that more natural resources," he argued, than East Africa, in terms of population , land mass, minerals, forests, fresh water than east Africa.
Rwanda applied to join the East African economic bloc in 1996, while Burundi followed suit three years later.

Rwanda joins the EAC after Kenya, Uganda, and Tanzania launched a customs union, now preparing for a single market and a unified currency, before finally forging a political federation between 2010 and 2013.

Last year, during Rwanda's admission, President Paul Kagame was quoted describing the entrance of his country and Burundi into EAC as a historic decision and an important landmark in his country's history.

Political gurus in the region peg Rwanda and Burundi admission into EAC to the current peace and stability the two countries are enjoying. It is argued that, if the two countries were not stable, their application to join EAC would have been turned down.

The two countries are the first French-speaking members, now making the bloc bilingual.

BY KABONA ESIARA IN NAIROBI
 
We mourn on behalf of passengers on board the fatefull Flight. Tafadhali tuziweke tofauti zetu aside.

 
The East African Standard (Nairobi)
NEWS
9 May 2007
Posted to the web 8 May 2007


We are here for a rough ride.
 


Tanzania: Arbitrary Ejection of Refugees Upsets Rights Group


Catholic Information Service for Africa (Nairobi)

8 May 2007
Posted to the web 8 May 2007

Bujumbura

A global human rights watchdog today accused Tanzania of violating international law by expelling people of Rwandan and Burundian origin.

In a letter to Tanzanian President Jakaya Kikwete, Human Rights Watch also said state security forces were committing abuses against the foreigners.

Since May 2006, Tanzania has sent back some 15,000 persons to Rwanda and several thousand more to Burundi, the group said.

"Tanzania has the right to expel people who are illegally within its territory, but it must assess cases individually," said Alison des Forges, senior Africa advisor at Human Rights Watch. "Arbitrary expulsion of people based on their national origin is a serious violation of international law."

According to HRW, the Tanzanian government says the operation is aimed at reducing the number of illegal immigrants in the country, but Tanzanian officials have also expelled naturalized Tanzanian citizens, registered refugees living in refugee camps, and persons who have an apparently valid claim to asylum but reside outside of camps.

Some have lived in Tanzania for decades or were born there and have never lived elsewhere. According to Tanzanian officials, the operation is targeting a total of 60,000 persons of Rwandan origin and an as yet unspecified number of persons of Burundian origin, HRW said.

Relevant Links

Central Africa
East Africa
Tanzania
Refugees and Displacement
Human Rights
Burundi
Rwanda


According to accounts gathered by organisation, Tanzanian soldiers, police and militia have beaten and threatened people they wanted to expel and have looted and destroyed their property. In some places, these roundups have resulted in parents being separated from children, including infants being separated from their mothers. In addition, police have confiscated and destroyed documents proving that the targeted persons were naturalized Tanzanian citizens.

The Tanzanian government failed to provide adequate warning of the expulsion to Rwanda and Burundi or to humanitarian agencies, thus hampering the prompt delivery of assistance to the new arrivals. Many of those expelled now live in misery and are short of food, firewood and shelter.

HRW urged President Kikwete to ensure that all persons at risk of expulsion are screened procedurally, ideally in conjunction with staff of the United Nations High Commissioner on Refugees (UNHCR). Those identified by legitimate screening as not being legal residents of Tanzania should be returned to their countries of origin in dignity.
 
Government Denies Rights Violations

UN Integrated Regional Information Networks
NEWS
9 May 2007
Posted to the web 9 May 2007
Dar Es Salaam


[ This report does not necessarily reflect the views of the United Nations ]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…