East African Federation (EAF) public Views

Nyang'au watawafunza nyie jinsi dhahabu zilizo huko zinavyotumiwa, kwa vile inaonekana ni Nyang'au na SA pekee walio na akili hiyo.

Angalia hata jina lako bado una kasumba wewe, Tanzania ni taifa lenye heshima sio kuuawa kama kima na mabwana zenu. Ukimbizi utaacha lini? Huna kwenu wewe no pride no dignity. Utabakia kuwa manamba hadi kiama. pili pili iko Tanzania wewe inakuwashia nini? Endelea kuwaabudu hao mafirauni wenu.
 
Nilidhani Bongoland ilitokea kwa ajili wengi wenyu ni BONGOLALA, could I be wrong? How was your weekend son?

We kimada bado upo? Naona waliokuweka kimada wameiba vya kutosha sasa wakikutekeleza utaweza kweli ku-surf kwenye net?
 
Naona Wabunge wa EAC are learning from their counterparts in Kenya. Despite economic problems that EAC member states are currently facing these goons have decided to increase their remunerations. This is a selfish act that summarizes everything that one needs to know about EAC and its priorities. It is common Mwananchi that will eventually carry this burden; instead of building a school or a hospital, those funds are now being used to accomodate WabUnge lavish lifestyles. How in the world can they just justify this selfish and reckless behavior? If Wananchi are not going wake up and demand accountability from their EAC Wabunge then EAC will turn out to be another White elephant.

Monday, 05 July 2010 08:14 0diggsdigg

Ramadhan Semtawa

WAKATI michango ya nchi wanachama katika jumuiya ikiitoa jasho Tanzania, wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wameongezwa mishara hadi kufikia dola 5,000 (zaidi ya Sh 5 milioni) kwa mwezi katika bajeti ya mwaka 2010/11.

Ongezeko hilo, limekuja wakati Kenya, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu mishahara huku mchango wa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), ukiongezeka kwa asilimia kumi.

Bajeti iliyosomwa bungeni juzi na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Diodarus Kamala, wizara hiyo, imeomba bunge liidhinishe Sh 13 bilioni kwa mwaka 2010/11 ili kufanikisa malengo yake.

Dk Kamala alifafanua kwamba kati ya fedha hizo Sh 12.3 bilioni ni kwa ajili ya matumizi mengineyo (OC) na Sh 764.7 milioni ni za mishahara ya watumishi (PE).

Waziri huyo hakuweka bayana mchanganuo wa mishahara kisekta, lakini imethibika kwamba wawakilishi hao, watapata kiasi hicho kama ilivyokubaliwa ndani ya jumuiya.

Wabunge hao, wataendelea na posho ya vikao ya dola 300 (takriban Sh 400,000) kila wanapokutana katika vikao. Awali, wabunge hao waliomba nyongeza ya posho hiyo.

Tayari gazeti dada la Mwananchi linalochapishwa kwa lugha ya Kiingereza la The Citizen, liliwahi kuandika ongezeko jumla la fungu la mishara kwa wabunge hao wa EAC miezi miwili iliyopita.

Akisoma bajeti hiyo, Dk Kamala alisema mchango wa jumuiya umeendelea kuongezeka kutokana na kupanuka kwa muundo na kuongezeka kwa majukumu EAC.

Dk Kamala alifafanua kwamba kiasi cha mchango wa Tanzania katika jumuiya ya EAC kwa mwaka wa fedha 2010/11, kimeongezeka kutoka Sh 7.8 milioni katika mwaka wa fedha 2009/10 hadi kufikia Sh 8.6 milioni kwa mwaka wa fedha 2010/11.

Sehemu kubwa ya shughuli za EAC, zinaendeshwa kwa fedha za michango ya kila nchi mwanachama.

Ongezeko lolote la gharama za kuendesha EAC, hubebwa na walipakodi wa nchi husika.

Mchakato wa kulipa ada kwa mwaka wakati mwingine umekuwa ukisuasa kutokana na hali ngumu ya kiuchumi miongoni mwa nchi wanachama.

Katika hotuba hiyo, ilielezwa kuwa wizara husika kwa kushirikiana na wizara ya fedha, wanaetekeleza maagizo ya wakuu wa nchi wanachama kuhusu kulipa michango ya jumuiyahiyo kwa wakati.

"Kwa mwaka wa fedha wa 2009/10, mchango wa Tanzania katika Jumuiya ya Afrika Mashariki ulikuwa Sh 7.8 bilioni ambao tayari umelipwa.


EAC inaundwa na nchi tano ambazo ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi na tayari Julai mosi, iliingia katika hatua kubwa ya utekelezaji wa Itifaki ya Soko la Pamoja.
 

Why do you celebrate today while we had the same since 1966 and you guys, Kenya, killed in 1977? Since it was useless in 1977, it will never be useful today.

You are lucky that Tanzania is led by a group of the ignoramuses who don't learn from history. However, most us know that "Those that fail to learn from history, are doomed to repeat it;" so we don't want to repeat our mistakes of between 1966 and 1977. Rest assured that the formation of EAC today is not the end of everything, this time the EAC events of 1977 will start from Tanzania, not in Kenya. Immediately following the breakup of the EAC in 1977, many Tanzanian who were living in Kenya at that time were humiliated by Kenyans as if they were animals. Since then, not so many Tanzanians live in Kenya, however at this time there are so many Kenyans flocking into Tanzania, and we tell you the game of 1977 that you did to Tanzanians will be reversed to Kenyans.
 
Heheheheee.. wacha woga weee.. If you allow me to give you some advise please: Just don't waste your time trying to outsmart the Nyang'au's cause in the meantime, they will be doing what they do best; business as usual.
I guess you were not yet born in 1977 so you don't know why most Tanzanians do'nt like the EAC especially if it involves Kenya. You look at the rosy side only while we look at both the rosy and the thorny sides.
 
Wewe ******* unashindwa kuelewa kwamba waTZ wala hawana NIA wala SHAUKU na hiyo EAC. Ripoti ya ukusanyaji wa maoni ya Prof Wangwe et al; umeonesha dhahiri shahiri nini matakwa ya waTZ kuhusu EAC. Ni viopngozi uchwara ndio wanasukuma hii kitu , hivyo acha kutukana waTZ wakati walituingiza huku ni hawa mafisadi.

PUMBAVU WEWE/
 
..sijui watoto wa UDOM na hizi sekondari za kata watakapomwagika mijini hali itakuwaje. au ndiyo wataambiwa waende Kenya wakatafute kazi??

.
 
..sijui watoto wa UDOM na hizi sekondari za kata watakapomwagika mijini hali itakuwaje. au ndiyo wataambiwa waende Kenya wakatafute kazi??

.

Mkuu Kenya hakuna potential ya PESA, ndio maana wanafurahia hii EAC. Ni sawa na hawa mambumbu wetu wanachofanya ni sawa na kubadilishana kioo cha kujiangalia na dhahabu..The same old story of Chief Mangungu..

BTW, mkuu shule za kata zimetoa failures of more than 70% kwene NECTA iliopita...na hao vijana wa UDOM (baadhi ) walimuomba personally JK agombee na kumchangia pesa ya fomu..! Huenda nchi inahujumiwa kwa kusudi hapa, SI BURE.
 
Kenyans are the last people i would wish to see in this country! They add no value, just a liabilty.
Hata mwanamuziki wetu George Peter Kinyonga ( imagine, an entertainer ), waliwahi kumfunga kwa kufanya kazi Kenya bila kibali wakati alikuwa anasaidia ku-transform muziki wao usiokuwa na mvuto na baadae kutolewa na kaka yake Wilson kwenye miaka ya themanini. We Sawa kaeni kinyume cha sheria, dawa iko jikoni. Viongozi wenye maono wanakuja, Tanzania is ever dynamic, it cannot be static.
 

Big brother with little brain matter. That's what you are known as in Africa.
 

Mkuu Wabs,

Its been a while ..how have u been ?? Welcome back..

BTW, umenichekesha sana, ni ukweli usemayo, jamaa wapo huko wanaleta mambo ya mahakama ya kadhi na mambo mengine trivial, huku tabaka tawala wameshauza nchi, hii mijamaa ikija kustuka lol wao wenyewe wameshauzwa utumwani.
 
Tanzania bado haijawa tayari na hili dude common marke kwasababu wanajua hakuna tutakachoweza kuuza zaidi ya malighafi.
 
We kimada bado upo? Naona waliokuweka kimada wameiba vya kutosha sasa wakikutekeleza utaweza kweli ku-surf kwenye net?

Sijakuelewa ewe Mtanzania.. Ongea lugha aambayo watu wa kawaida wanaeza elewa... KIMADA, TELEKEZA W.T.F????
 

Unajua tatizo lako uko to Theoretical, wakati Abdulhalim yuko to practical. Mpaka mnazungumza katika maeneo hayo tofauti hamuelezi kuwa na mjadala endelevu au unaoishi (living discusion)

RealDull, napenda kukukumbusha kuwa mpaka hapa tulipofika katika EAF sio waka wa Nadharia tena ni wakati wa kuzungumzia yatokeayo under ground. Ukilielewa hilo ndio jiingize katika majadiliano haya na kutoa hoja zako VINGINEVYO KAA PEMBENI.
Huu si wakati wakutufungulia kitabu chako na maelezo kama haya: ........ "The underlying economic theory of free trade agreements is that of "comparative advantage," which originated in an 1817 from a certain economist from Britain. His book is entitled "On the Principles of Political Economy". Vitabu kama hivyo na vingine ya Demokrasia tumevisoma zaidi ya 1000 na bado miaka mitano tu iliyopita huko nairobi mlitiana mkon'goto mkilia na uchaguzi. Kwani hakuna maprofesa waliovisoma hivyo vitabu. Viweke kwenye vikapu na kwenye masanduku hivyo vitabu vyako unapoingia hapa JF na toa Reflection zako.

Tofauti kubwa kati yako na Abdulhalim ni kwamba:

Abdulhalim anaiangalia EA ya leo na yeye mwenyewe ndio anakuwa mtunzi wa kitabu kihusianacho na hali halisi (elimu, tamaduni, utendaji, ueleo, utayarishaji wa wananchi, faida-hasara) ya wananchi wa EA na kuiangagalia hii shirikishi litavyomfaidia/kutomsaidia mwanannchi wa kila nchi.

ReaDull unakwenda makataba ya University of Oxford na kuangalia ulaya iliendeleaje katika karne ya 17-18 na kuhamisha nadharia hiyo katika EA kama ndio sababu kuu za kwanini unafurahia huu uamuzi wa soko la pamoja. Kimsingi umetawaliwa na Nadharia zaidi kana kwamba wewe huishi EA na kuwa kama mtu usioelewa chochote juu ya hali halisi EA.

Ushauri wa bure kwako: Kuwa kama wewe ndio mtunzi wa kitabu cha nadharia za uchumi EAF ukizingatia kuwa 40% ya wakenya hawana kazi, 5% ya GDP ya Tanzania ndio hutokana na viwanda na na... na.. na.... Halafu ndio jadili na jaribu kuja na Data/takwimu ili ueleweke zaidi unachokizungumzia.

Nafikiri umenielewa......
 
SIO KWA UBAYA LAKINI ABDULHAIM HAS BEEN GIVEN A LESSON. realdeal you are trully the real deal

Bila wewe JF ingeheshimka zaidi. Maana wewe huishi bali una exist, pole sana.

Hata hivyo nafurahi kwasababu JF inaruhusu watu wote kushiriki hata wale wasio na la kusema na ambao vichwa ni vitupu. Haaaa...haaa....ha-ha-h!
 
Nilidhani Bongoland ilitokea kwa ajili wengi wenyu ni BONGOLALA, could I be wrong? How was your weekend son?

Achana na kakikuyu haka, hakaelewe hata TZ ni nini?

Angalia magazeti ya Kenya eti Wakikuyu wanamsaport Kibaki. Lo hii ni hatari kwanini wasiseme Nairobi au province fulani.

Haya ndio matatizo ya Kenya, huyakuti Tanzania hayo!!!!!!! Tutasema wilaya fulani, mkooa fulani au kanda n.k lakini sio kabila. Acheni ushamba huo. Njoeni TZ tuwafundishe shule ya maisha sio kiingereza, kwani mnadhani kuwa ukijua kiingereza ndio umemaliza.
 

I wish you would clarify what nadharia means, but all the same, it seems to me that you don't understand the purpose of my theories. I also wonder where on earth has the theory ever preceded the practical.
 
I wish you would clarify what nadharia means, but all the same, it seems to me that you don't understand the purpose of my theories. I also wonder where on earth has the theory ever preceded the practical.

Your theories??? Bwe he he he..
 

Why are most of you guys always so crestfallen by the fact that Kenyans and Ugandans are mellifluous in English than you?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…