East African Presidents turning states into Political chaos!

Weee usimfananishe Raisi wetu Pombe Magufuli (PhD) na Ujinga!
TZ yetu siyo sehemu ya hilo kundi!

Inaonekana unatetea kitu usichokijua! I believe in the next 3 years you'll undertstand this much bettert.......!!!!
 
Inaonekana unatetea kitu usichokijua! I believe in the next 3 years you'll undertstand this much bettert.......!!!!
Kumbe unapiga ramli ya siku zijazo?, ila kwa tuhuma ulizotoa mwanzoni ingekuwa vizuri kama ungetupa vyanzo vyako vya habari ili tujifunza toka kwako, ila kama ni maneno ya mtaani, hayo huwa yanaishia kwenye mazungumzo ya mitaani tu, huku ji jukwaa la kujifunza, utahitajika uthibitishe uhalali wake
Don't ever dare try to Compare our JPM with Uhuru or any of those you have mentioned here. Kila mtu na aubebe mzigo wake. JPM is the best President! We do like him. Pambaneni na hali zenu.
 
Don't ever dare try to Compare our JPM with Uhuru or any of those you have mentioned here. Kila mtu na aubebe mzigo wake. JPM is the best President! We do like him. Pambaneni na hali zenu.
Nyangomboli,
A very funny name which depicts what kind of a person are u!
All those mentioned here are the presidents who have violeted their Constitutional in one way or another......!Magufuli is not special! Think about this,your presida is now harrassing and gunning down the MPs from oppositiion! Magufuli is not ready to be critisized by MP like Lissu...!!!
 
Afrika na viongozi kupokezana madaraka wapi na wapi??
sisi hatujazoea huo utamaduni mpya wa kubadirishana madaraka viongozi wakiwa hai.
jamani mnafikiri Mugabe hajui ya kuwa Monemutapa aliachia madaraka alivyokata punzi au M' 7 hajui ya kuwa Kabaka Mutebhi Mutesa aliachia madaraka na kumpa mwingine akiwa akiwa yuko kaburini.
msipende kuwalaumu viongozi wa Afrika, jasiri haachi asili, haya mambo ya kubadirishana uongozi yana umri wa miaka isiyozidi hamsini. ni kuanzia miaka ya 1960 baada ya uhuru. tunahitaji muda na elimu endelevu kwa miaka mingi mpaka kizazi chetu cha freedom fighters chenye hangover ya uchifu (kama vile mansa kankani muda, monomutapa, zwangedaba, osei tutu) kiishe.
katiba zetu siyo lazima ziwe kama za magharibi na pia TUJUE ya kuwa siyo kila kitu kutokea magharibi ni kizuri na kitatufaa. cha msingi ni kuangalia kile kinachoendana na desturi zetu. tuna unfortunate moja ni kuwa kila mtu toka nje ya Afrika ana akili na ujuzi kutuambia tunachopaswa kufanya. ukiona mfano China, haina desturi za kukopa au kuazima ndiyo maana wako tofauti na wanaendelea vizuri sana. hata pia Urusi na Ujerumani wako tofauti na wanaendelea vizuri. sisi tumevugwa hatujielewi.
 
...Nyerereist stoic adherence to policies as opposed to personality cults...
Well, although I am a staunch Nyerereist I would like to slightly differ on this. Nyerere belonged to a generation of early post-colonial African leaders whose cultivation of personality was an order of the day. In a way this was one of the fundamental tenets in nation-building, I should say. Take for example Sekou Toure and Kwame Nkrumah, to name but a few. We who grew up in this period are witnesses on how Mwalimu's personality was carefully nurtured by the state's propaganda machinery. To most of us Nyerere was not only a leader but a cult. Thus when he died the nation was gripped by such a magnanimous grief as if it was the end of the world.
 
Never! TZ yetu siyo sawa na huwo Ujinga uliouweka hapo, hii Nchi ni ya Mungu!

We ndo unaongea ujinga na uchizii!!!
Tell me ni nchi gani ya Mungu inayopiga risasi zaidi ya 30 mtu 1 tena mchana kweupe au kumpoteza raia wake ka ilivotokea kwa Benn Saanane na wala hainaa habari....!!!!!
 
I doubt you understsood what I wrote.

What did you understand?
 
Kuna kamfumo kameanza ka kupigana Risasi,Kutupana baharini,Kutekana watu kupotea, Ongezeko la watu wasiojulikana. Na kadhalika ila mungu anawaona
 
An
An Objective statement Sir.Though we better give an ample time to His Excellence JPM in order to see his realism leadership proves successful or Failure.
 
Tafadhali sana futa kauli yako,hatutaongeza na wala hatuna huo mpango na aliyepeleka hilo wazo tayari kashaliondoa mapema.....
 
Ila hapo umekosea kutokumweka Raisi Uhuru Kenyatta kwenye hii Orodha. Nasikia anamiliki sehemu kubwa sana ya ardhi ya Kenya na hiyo ni kwamba aririthishwa.

Raisi Magufuli ni Dikteta kabisa na hilo hakuna Mtanzania anayeweza kulipinga kabisa. Ingekuwa ni miaka ya Sabini ambako dunia haiumuoni sana basi angekuwa ni kiwango cha wakina Mengitsu Haile Mariam au Mao Zedong.

Lakini japo na makashikashi yake yote haya Raisi Magufuli hana hulka ya kujilimbikizia mali kwa kuiba. Hili ndilo linalomtofautisha sana na viongozi wengine wa Afrika. Skandali za Rushwa na Ufisadi ambazo anazo ni zile za kipindi cha Uwaziri tu.

Kwenye mambo ya Pesa hata upinzani wanajua hawana karata ya kumkamatia. Yuko wazi sana huko na hata mshahara wake tunaujua watanzania wote. Japo ubaya ni kwamba ni dikteta.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…