East African Presidents turning states into Political chaos!

Hapo ninamtetea Uhuru Kenyatta, huyu ni baba wa demokrasia Afrika hawezi kuyafanya hayo, wewe unamchukia Uhuru kwa sababu ni mkikuyu
Mkuu, yote aliyoeleza yanayofanyika nchini Kenya kwa kipindi hiki wakielekea kwenye uchaguzi wa marudiano, kwani ni uongo?
Habari zote zinazotemwa na media kipindi hiki wewe haupogo?
 
Ninahisi hujitendei haki wewe mwenyewe katika nafsi yako, ama kwa sababu huwa huna muda wa kufikiria kwa undani au huna uwezo wa kufanya hivyo, tuanze na hili la kutofuata katiba, kwa kiwango kikubwa sana Magufuli anafuata katiba ya nchi, kama ni marks ningempa 85%, hizi 15% anazikosa kwa sababu ya kubana vyama vya siasa na uhuru wa habari, hii ni sawa na wewe na mimi pamoja na kwamba hatutekelezi yale yote yaliyomo katika dini zetu, tena inawezekena wewe unayesema Magufuli hafuati katiba ya nchi, ndiye usiyefuata maagizo ya dini yako kwa kiwango kikubwa sana, kuna kila dalili kwamba wewe ni mzinifu mkubwa sana, ama mlevi sana, au mwizi, lakini bado unajiita ama mkristo au muislam, na unahisi unafuata kitabu chako kitakatifu.

Tatizo kubwa kwa nini Magufuli anaonekana kuwa dikteta, ni kwasababu amewabana wanasiasa, kwamba katika kipengele cha katiba ambacho yeye amekikeuka kinawagusa moja kwa moja wanasiasa, na wao ndiyo wenye makelele sana, lakini kuna vingele vya katiba vingi sana ambavyo vinawahusu watu wa kawaida ambavyo marais wengi wanavikiuka, kama vile haki za walemavu, haki za watoto, haki za wafanyakaxi, lakini kwa sababu makundi haya hayapigi kelele, hatuwaoni marais hawa wanaokiuka haki hizo kuwa wanavunja katiba.

Ili mtu awe dikteta ni lazima awe hafuati katiba ya nchi, Magufuli anaifuata kwa kiwango kikubwa sana, dikteta anakuwa anahusika kwa mauaji ya kiholela kwa wapinzani na wanaharakati mbali mbali, Magufuli hajafikia huko, japo suala la Lisu na Ben limemtia doa, lakini kumbuka hata kipindi cha Kikwete, Dr. Ulimboka na Mauaji kule Mtwara ya watu waliokuwa wakipinga kuhusu gasi hayakutosha kumuita Kikwete dikteta

Kuhusu kuwa mwanasiasa au hapana, hili linahitaji akili kubwa kidogo kulielewa, inategemeana na tafsiri yako inatokea upande gani, hivi unaweza kumwita Magufuli ni driver kwa kuwa tu umemkuta siku hiyo anaendesha gari lake?, is he a driver or is driving?, sifa ya kuwa driver ni ipi?, je kila aliyepo nyuma ya usukani wa gari anaendesha ni dereva au kila dereva lazima aendeshe gari?
 
Reactions: Oii
Mkuu, yote aliyoeleza yanayofanyika nchini Kenya kwa kipindi hiki wakielekea kwenye uchaguzi wa marudiano, kwani ni uongo?
Habari zote zinazotemwa na media kipindi hiki wewe haupogo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Nilitaka kuwachezea kidogo wale waliokuwa wakipiga kelele kwamba yeye ni baba wa demokrasia, ila wamekuwa kimya ghafla, waswahili husema usijisu kuwa unakimbia sana wakati bado ungali unafukuzwa, Kenya haijawahi kuwa nchi ya kupigiwa mfano duniani kuhusu demokrasia, huwezi kuwa na ukabila, rushwa na tofauti kubwa ya kipato kama ilivyo Kenya na bado kukawa na demokrasia, ni kujidanganya.
 
Nimekutoa akili ulivyo mfananisha Magufuli na hao wengine.

Otherwise weka ushahidi unao kufanya umlinganishe Magufuli na haowakina m7.
Acha chuki za kijinga.
 
An

An Objective statement Sir.Though we better give an ample time to His Excellence JPM in order to see his realism leadership proves successful or Failure.

Surely time gonna tell! Time is ticking away.......!
On 20th this November JPM will be completing a 2nd year of his tenure. Tanzanians are keenly watching, people all over the world are watching carefully what's happening in Tanzania. Refer the recent statement by African tycoon Sir Aliko Dangote on Tanzania economy! As time goes on, there'll be a lot to be revealed........!!!
 

joto la jiwe,

A lot of words to which 99.99% are self contradictions! How can someone be 15% a Dictator and 85% a good Leader? How can a President violate the Nation Constitution by 15% and call him a good President? You can't be in two places at a time..! You're either a DICTATOR or you're NOT...!!!

Magufuli aliapa kuilinda Katiba ya JMT kwa 100% na si vinginevo. Kitendo cha kuvunja Katiba hata kwa kifungu kimoja inatosha kumwondolea mbali. Usifikiri Marais wanaojiuzulu au kupigiwa kura za kutokuwa na imani nao huwa wamekiuka Katiba kwa 100%...!! Huwezi kusema unapambana na Rushwa wakti huohuo kuna Viongozi uliowateua wanatoa Rushwa kununua WAPINZANI wahamie CCM......!!!Huu ni usanii ulioptiliza. Period!
Kifupi ndugu Joto la Jiwe huna hoja. Jaribu kufikirisha ubongo wako kidogo ili nikuelewe. Vinginevo ninacho kiona na kusoma between the lines, to me you're just pro-magufuli..!!!
 
Nimekutoa akili ulivyo mfananisha Magufuli na hao wengine.

Otherwise weka ushahidi unao kufanya umlinganishe Magufuli na haowakina m7.
Acha chuki za kijinga.
Lwagu,
Acha mapenzi na ushabiki wa kijinga...!
Ushahidi upo kwenye websites za nchi husika kama Rwanda,Uganda, Kenya, Burundi na media maarufu za Kimataifa. Kunitaka nikuwekee USHAIDI ni kuonyesha jinsi ulivyo mvivu wa kufikirisha ubongo wako...!!
Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…