East African: Tanzania has overtaken Kenya in logistics hub in East Africa

Mengine kama haya Sina budi kupongeza.
Na lile la kutubu alitafakari kwa KINA.

mtu akiwa anapata dozi ya kiroho yaani kuungama au kutubu HANA sababu ya kutangaza. kwani kufanya tangazo kunabatilifsha toba. ndiyo MAANA unapaswa kukaa kimya kwa sababu hujui kama katubu au laa.
 
bravo my President JPM
bravo my country Tanzania
 
Wengi ambao wamecomment hawajaelewa mada. Poleni sana. Kuna jambo amabalo huitwa comprehension.
 
Mara paaaaap!! Yanaletwa majenereta 14 kama yale ya kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…