East african universities' competitions

East african universities' competitions

ROBBY MAPESA

Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6
Reaction score
0
Mnakaribishwa nyote hapa chuoni university of DAR ES SALAAM (MLIMANI) kushuhudia mashindano ya michezo mbalimbali kwa vyuo vya Afrika Mashariki.
Takriban vyuo 38 vitawashiriki na mashindano yataanza leo tar 08/02 hadi tar12/02/2013. Njooni tujenge UMOJA na MSHIKAMANO, tudumishe URAFIKI kati ya nchi zetu za Afrika Mashariki na pia tubadilishane mawazo na mbinu mbalimbali za kielimu.
YOU ARE ALL WELCOME
 
rekebisha kauli yako,nani anakuja kwa ajili ya kujenga UMOJA na MSHIKAMANO au kudumisha urafiki? upi??
tunakuja kuangalia michezo,kurelax,kujifunza baadhi ya mambo etc but sio uliyotaja
 
wanyarwanda wapo? ( wagole)?
kuna tennis ya wanawake? tutakuja lini ipo?
 
Back
Top Bottom