East Africa's Tallest Towers (Complete and Under Construction)

wewe ndio zumbukuku!
urefu hupimwa na height not floors...
huwa mnaenda shule kusoma ujinga
Ndiyo. Katika comparison urefu wa mnara huwa haujumulishwi kwenye urefu wa ghorofa. Only the height of concrete floors. That only happens in a country with shortage of sky scrappers like Kenya.
Ni sawa unapopima urefu wa mtu, urefu wa nywele au high heels huwa hauzingatiwi.
 
We are now talking of longest sgr bridge in Africa. Kenyans are talking of tallest tower in East Africa.
 
MUPS ya Eldoret Ni how many mtres since its over 20floors
 
Umeanzisha huu utoto tena? Si tulishawamaliza kwenye uzi wa mwaka juzi umeona urudi tena..
 
This is the view of Dar es Salaam skyline, please let's see the Nairobi one
Majengo matano yaliorundikana kwenye ekari check ni ya ishirini looks superb to an average Tanzanian but haitoshi mboga.
 
We are now talking of longest sgr bridge in Africa. Kenyans are talking of tallest tower in East Africa.
We talking about the longest real SGR tunnel while you are bragging about the longest SGR bridge render in Africa? You guys really have a Mountain to climb.
 
Tuliwanyamazisha na Mombasa kitambo. Inaonekana mnataka kulia tena...why don't you try competing with Juba, Bamako or even Bujumbura to sooth your broken EGO.
Sishirikigi mada za kitoto mimi
 
Tuliwanyamazisha na Mombasa kitambo. Inaonekana mnataka kulia tena...why don't you try competing with Juba, Bamako or even Bujumbura to sooth your broken EGO.
Mombasa nao mji?
 
Site uchwara MZIZIMA ni nyumba ndefu kuliko TPA how comes iwe 134M ??even PPF ni zaidi ya 160m btw ukiwa sio mbishi ukifuatilia utajua
Pia na mimi niliona hilo juzi kwa picha kua mzizima ni ndefu kuliko Tpa.....lakini swali ni je kwa nini hua mnasema Tpa ni 40flr na ni fupi kuliko mzizima yenye 35flr?
 
Pia na mimi niliona hilo juzi kwa picha kua mzizima ni ndefu kuliko Tpa.....lakini swali ni je kwa nini hua mnasema Tpa ni 40flr na ni fupi kuliko mzizima yenye 35flr?
Kwann Ponte tower yenye 54flr ni fupi kwa carlot centre yenye 50flr ??
 
Pia na mimi niliona hilo juzi kwa picha kua mzizima ni ndefu kuliko Tpa.....lakini swali ni je kwa nini hua mnasema Tpa ni 40flr na ni fupi kuliko mzizima yenye 35flr?
Tpa foundation is on a lower level kama umefika lilipo!
 
Tpa foundation is on a lower level kama umefika lilipo!
Geza Hawa huwa hawataki kuamini ,britam mnara meter 40 wanasema nao wananyumba ndefu. ..ndio maana list zingine hua wanasema kabisa exclude minara
 
KWELI bongo yetu INAPENDEZA.
Awamu Hii Sidhani Kama Tutaona Majengo Marefu Yakijemgwa Bongo, Maana Matajiri Hawa Hamu Na Hii Awamu, Ukijenga Tu Utaulizwa Hela Umetoa Wapi.
Acha Kenya Watunyooshe Tu
Hakuna Namna Ingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…