Eeh Nilitaka Kujenga Jengo Refu La Hotel Ya Nyota 5 Ila Nilipoona Mahotel Yanafungwa Nikaghairi.Ulishajenga nyumba ndefu ukaulizwa ela umetoa wapi?
Acha uwongo pimbiiAwamu Hii Sidhani Kama Tutaona Majengo Marefu Yakijemgwa Bongo, Maana Matajiri Hawa Hamu Na Hii Awamu, Ukijenga Tu Utaulizwa Hela Umetoa Wapi.
Acha Kenya Watunyooshe Tu
Hakuna Namna Ingine.
Katika Yale majengo marefu yote dar, ni lipi linamilikiwa na individual Tajiri?Eeh Nilitaka Kujenga Jengo Refu La Hotel Ya Nyota 5 Ila Nilipoona Mahotel Yanafungwa Nikaghairi.
Nikakumbuka Kwamba Mkuu Aliahidi Kuwashusha Matajiri Wawe Maskini. Kwa Hiyo Awamu Hii Hataki Matajiri. Unategemea Hayo Majengo Atajenga Nani
Site uchwara MZIZIMA ni nyumba ndefu kuliko TPA how comes iwe 134M ??even PPF ni zaidi ya 160m btw ukiwa sio mbishi ukifuatilia utajua
Nimecheka Sana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nusu ya jengo ni mtego wa radi
HILI SIYO JUKWAA LA SIASAAwamu Hii Sidhani Kama Tutaona Majengo Marefu Yakijemgwa Bongo, Maana Matajiri Hawa Hamu Na Hii Awamu, Ukijenga Tu Utaulizwa Hela Umetoa Wapi.
Acha Kenya Watunyooshe Tu
Hakuna Namna Ingine.
Hehehe. Sema tu umeogopa. Tutakuelewa tu.Sishirikigi mada za kitoto mimi
Hata ukitoa hio mita 40 au sijui ngapi, bado Britam inaziba Tpa makofi mazito mazito. Ni namba tu mtasoma mgongoni.Geza Hawa huwa hawataki kuamini ,britam mnara meter 40 wanasema nao wananyumba ndefu. ..ndio maana list zingine hua wanasema kabisa exclude minara
Majengo yamefungwa minara ya earth[emoji1]Nusu ya jengo ni mtego wa radi
Magufuli anashida na wenye pesa haramu sio wenye pesa safi ndo maana kila siku viwanda vipya vinafunguliwa nchini.Eeh Nilitaka Kujenga Jengo Refu La Hotel Ya Nyota 5 Ila Nilipoona Mahotel Yanafungwa Nikaghairi.
Nikakumbuka Kwamba Mkuu Aliahidi Kuwashusha Matajiri Wawe Maskini. Kwa Hiyo Awamu Hii Hataki Matajiri. Unategemea Hayo Majengo Atajenga Nani
Huwezi Ikimbia Siasa Popote Pale, Huwezi Itenganisha Siasa Na Uchumi, Huwezi Itenganisha Siasa Na Maisha Ya Kila Siku Ya Binadamu. You Will Be Fooling YourselfHILI SIYO JUKWAA LA SIASA
I'm pretty sure the first fool is you, go to the Club, Bar, Casino then bring your Shit politics thereHuwezi Ikimbia Siasa Popote Pale, Huwezi Itenganisha Siasa Na Uchumi, Huwezi Itenganisha Siasa Na Maisha Ya Kila Siku Ya Binadamu. You Will Be Fooling Yourself
Hahahaaa Huna Hoja Wewe. Mama Yako Kakufundisha Kutukana Watu Usiowajua. Yes Im A Fool But Kama Hujui Kama Nchi Inapiga Steps Kibao Kurudi Nyuma Utakuwa Jinga Zaidi Yangu. RubbishI'm pretty sure the first fool is you, go to the Club, Bar, Casino then bring your Shit politics there
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Nusu ya jengo ni mtego wa radi
Where is CBK 27 floors
88 NAIROBI tower 44 floors
Cytonn 35*3 floors
Habitat 23 floors
...My city is on fire!