Why dont you first show us evidence that they have not been upgraded ?......You are just a regular Tanzanian civilian and know nothing about Kenya army or you do is thinking that you know much.It is only Egypt army in Africa which have F -16, you wanted to by used from Jordan by deal went wrong because you went bankrupt, show evidence if your old F-5 underwent upgrading, you know nothing even about your own country.
Helicopter vs Mig-29, huu sasa ni undezi.COBRAS AH 1
View attachment 903079View attachment 903106View attachment 903086
Z9 AND MD 500
View attachment 903105View attachment 903119
AS550C3 Fennec Light Combat Helicopter combat version, with a beautiful Gatlin gun
View attachment 903114
mil 28
View attachment 903088
View attachment 903091
retired general karangi inside an f 16
View attachment 903102
8-F-16 Fighters Awaiting Assembly in Kenya
Ha haaaaHelicopter vs Mig-29, huu sasa ni undezi.
Hzo f16 nakumbuka walikuwa kwenye maonyesho na si kwamba ni f16 za KenyaCOBRAS AH 1
View attachment 903079View attachment 903106View attachment 903086
Z9 AND MD 500
View attachment 903105View attachment 903119
AS550C3 Fennec Light Combat Helicopter combat version, with a beautiful Gatlin gun
View attachment 903114
mil 28
View attachment 903088
View attachment 903091
retired general karangi inside an f 16
View attachment 903102
8-F-16 Fighters Awaiting Assembly in Kenya
Dude, some few 10s of soldiers on some mundane exchange program you call training with?
Hahahaha, wewe kichaa kweli, hivi ukisema umefanya jambo Fulani na mtu akabisha akakuomba uonyeshe ushahidi kuthibitisha kama unalosema ni ukweli, wewe utathibitisha au utamuambia thibitisha kwamba sijafanya?, hivi kwanini huwa mnakasirika tunaposema ninyi wakenya hamna akili kama unaweza kunitaka ni prove hamja upgrade hivyo videge vyenu?Why dont you first show us evidence that they have not been upgraded ?......You are just a regular Tanzanian civilian and know nothing about Kenya army or you do is thinking that you know much.
usifananishe vita ya vietnam na mmarekani kwa tz na kenya kama itatokea,Tz haijawahi kufeli kufeli ktk oparesheni zake nyie pambaneni na hao wavaa pedo wanaosababisha mkose usingizi kila siku.Sasa tuseme ni kweli kwamba nyinyi watu mna jet kali kutushinda, hio haimaanishi mnaeza tushinda vita. Vita inahusisha mambo mengi sana, ndio maana Marekani hawakuweza kushinda North Vietnam. Ilibidi Marekani waondoke baada ya 'Tet offensive' wakawaacha marafiki zao wa south Vietnam matatani, kisha North Vietnam ikaingia South Vietnam na kushinda vita na kuunganisha nchi nzima, ikawa inaitwa Vietnam. Marekani walikuwa na silaha nzuri tu bali hawakuweza kuwashinda vietcongs. Unajua maana ya vita kweli?
Wabongo hatuna shida na mtu cha msingi kuheshimiana tu wala hatuna muda wa kuulizana ww kabila gani, uwezo wa kuwapiga upo tu halafu tutawahifadhi wala hatuwaulizi kwenu mtarudi lini tuna mavichaka kibao ya kuwahifadhi.This is definite proof wewe si Mkenya. Huwezi kuwa unataka Kenya ishindwe vita ilhali eti wewe ni Mkenya na tukishindwa vita maisha yako itakuwa hatarini.
Why are you shifting the goal post?...I was replying to some idiotic post that kenya does not operate attack helicopters.Helicopter vs Mig-29, huu sasa ni undezi.
Why are you shifting the goal post?...I was replying to some idiotic post that kenya does not operate attack helicopters.
You only operate mig 21s which have been proven inferior to F 5Es .You don't operate mig 29s
Hahahaha, sisi tunatumia J-7, maximum speed 2200Km/hr, zinauwezo wa kubeba lesser guided missiles, manufactured 2014, long range (3000Km)Why are you shifting the goal post?...I was replying to some idiotic post that kenya does not operate attack helicopters.
You only operate mig 21s which have been proven inferior to F 5Es .You don't operate mig 29s
Hivi Tpdf imeanza lini kutumia mig-29 au ndo mabadiliko? Maana mie nachojua tuna mig-21 pamoja na j-7 za kichina
Sent using Jamii Forums mobile app
USA hatoingilia kijeshi vita ya TZ na KE kama ikitokea. Kikubwa atakachofanya ni kujaribu kuwapatanisha na kumuuzia silaha mkenya kumtia umaskini na kwenye madeni ili amnyonye vizuri kwenye resilimali zake. usifikiri kuwa na base hapo KE ndio maanake atadefend KE.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na kama kuna Vita kenya itajiandaa vilivyo na kununua heavy weaponary kutoka US. Thats why Israel hiwezi pigwa na enemies wake ambao hutumia Russian weapons. In an event of any war The US & Britain will always protect and fight alongside their allies! I think by now unajua The British & US have their Military base in Kenya! Kuanzisha vita na kenya ni Kuchokoza the Capitalist allies directly & you will be met with fire & Fury never seen in this world!
RubbishHello wana East.
Leo nakuja na ulinzi wa anga katika nchi za East Africa hususani nchi zinazotumia Ndege vita generation za kutoka Russia.
Kuna makampuni haya mawili ya Russia ambayo yanatengeneza ndege.
UTANGULIZI
Baada ya USSR kuvunjika, utengenezaji na uuzaji wa slaha kutoka katika makampuni ya ndege nchini Russia uli[ungua kwa kasi. Ndipo 20 February 2006 raisi wa Russia Vladimir Putin alisaini Presidential Decree No. 140 kwamba Ilyushin, Irkut, Mikoyan, Sukhoi, Tupolev na Yakovlev kwamba yatakuwa makampuni ya United Aircraft Corporation (joint-stock company) ili kuwezesha uzalishaji kuongezeka.
Bila kupoteza muda kabisa tunakuja hapa EAC. Utagundua kwamba Uganda wamenunu ndege vita kutoka Sukhoi ambayo inakwenda kwa jina Su-30. Huku kwa upande mwingine Tanzania ikiendelea na ndege kutoka Mikoyan. Kenya yenyewe imejitenga kabisa katika hili suala yenyewe ikitumia ndege vita kutoka USA(Steal Technology). Tanzania imekuwa ikitumia series mbalimbali za Mikoyan. Kulingana na website ya TPDF inaonesha kwamba Kwa sasa Tanzania inatumia Ndege vita aina ya Mig-29.
Mig-29 inayotumiaka Tanzania ipo upgrated kuweza kufiti 4.5 Generation of Fighter Jets.
Tembelea hapa: Mwanzo-Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania
View attachment 897740
Mig-29
View attachment 897750
Su-30
Tofauti ya Sukhoi Generation na Mikoyan generation
Sukhoi zimetengenezwa kwa ajili ya long range fighting lakini Mikoyan zimetengenezwa kwaajili ya short range fighting. Kwa upange wa ndege za USA hizi ndege mbili unaweza ukafananisha kidogo na F-15 and F-16. Japo Su-30 na Mig-29 zipo na uwezo mkubwa dhidi ya F-15 and F-16.
Kwa upande wa anga utagundua Uganda na Tanzania wananunua silaha kwa kushirikiana. Ikumbukwe ndege hizi Su-30 na Mig-29 zilitengenezwa katika nyakati tofauti, ikumbukwe kuwa mig-29 zilitengenezwa wakati mmoja na Su-27. Lakini kumekuwa na upgrade kutoka Su-27 mpaka Su-30 wakati huo huo jina la mig-29 limebakia pale.
Mpaka kwa sasa Mig-35 na Su-35 zimetengenezwa na lengo ni lile lile tu.
Ikumbukwe kwamba Mikoyan zimetengeneza kwaajili ya kuwa na speed kubwa wakati Sukhoi zimetengenezwa kwaajili ya kwenda mbali. Wataalamu wa mambo ya kivita wanasema Mikoyan zinafaa sana kwaajili ya interception kutokana na speed zake kuwa kubwa. Wakati Sukhoi zenyewe zimetengenezwa kwa lengo la air superior.
Kama tunataka fast interceptor Mig-29 ni bora zaidi inazizidi F-15/16/18, Su-27/30/35, Rafale, Eurofighter etc. Inazidiwa kidogo na F-22.
Tofauti ya Su-30 na Mig-29 ni kwamba Su-30 inaweza ikaonekana kiurahisi kwenye radar kutokana na umbo lake kuwa kubwa na kwamba inabeba siraha nzito nzito. Huku Mig-29 ni vigumu kuiona kwenye radar na kwamba speed yake ni kubwa.
Conclusion
Kama itatokea vita kati ya Uganda na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Uganda.
Kama itatokea Vita Kati ya Tanzania na Kenya. Kenya itapigwa hand down kutokana na ubora wa fighter jets za Tanzania.
Kama itatokea Vita na tayari ilishawahi kutokea kati ya Tanzania na Uganda kwa sasa. Uganda hawezi kutumia ndege yake Su-30 kutokana na kwamba itaangushwa na SAM zilizopo TZ. Vita ikitokea kati ya Tanzania na Uganda Fighter Jets zilizopo zitakuwa siyo primary. Hata hivyo wanajeshi wa Uganda wote wamepata mafunzo toka TZ. Kwahiyo TZ itashinda Hand down.
Mwisho kabisa: Strategies za kila nchi zinatofautiana. Kwa upande wa Kenya tunaona kuwa wanatumia pesa nyingi sana kununua zana ambazo hazina uwezo kwenye medani. Kenya inatumia F-5 ambazo ni second generation. Hata kama Kenya itatumia F-15 au F-16 bado katika haitaweza kufua dafu.
Ushauri kama kenya inataka kweli kuimaridha Air base wanatakiwa wanunue F-22. Na ikitokea hivyo basi nchi jirani kama Uganda na Tanzania watanunua Su-35 na J-20. Upande wa strategy kenya imezidiwa kidogo.
Karibuni sasa tujadili kwa undani zaidi.
UN haina jeshi rasmi ila wanatumia wanajeshi kutoka nchi wanachama Kwa hivyo mtanzania ambaye yupo kwenye jeshi la UN hawezi akaiba madini akayapeleka marekani , jaribu uwe mkweli kiasi Kwa kile ukisemacho.USA hatoingilia kijeshi vita ya TZ na KE kama ikitokea. Kikubwa atakachofanya ni kujaribu kuwapatanisha na kumuuzia silaha mkenya kumtia umaskini na kwenye madeni ili amnyonye vizuri kwenye resilimali zake. usifikiri kuwa na base hapo KE ndio maanake atadefend KE.
Kule Congo kuna wa UN, wanalinda rasilimali na kuzipeleka kwa mabeberu na raia wanaendelea kuuliwa.
Hapo kwnye hizo ndege za F5 za Kenya maximum speed no 1060 m/hHahahaha, sisi tunatumia J-7, maximum speed 2200Km/hr, zinauwezo wa kubeba lesser guided missiles, manufactured 2014, long range (3000Km)
F-5 Manufactured 1980s, Maximum speed 1700Km/hr, can't carry and use lesser guided missile, very short range(below 2000 km)