East Air Force - Sukhoi and Mikoyan

Poleni sana jirani zetu kwa kutegemea ulizi kwa wa Britain na USA lakini sidhani kama kuna taifa la Africa lililo karibu na Britain kama Malawi lakini uliza kwanini waliachokipa walivyoanzisha propaganda kuwa lake nyasa lote ni lao.
 
Kijana umezaliwa mwaka gani?
 
Tz haijawahi kuwa tegemezi kwa nchi yoyote kiusalama ndo maana hatuna military base ya nchi yoyote ina operate tz sasa hizo habari kuwa sisi tunawategemea wachina na warusi futa kabisa.
Hakuna mtu anawataka. Hata Germany na Britain wakoloni wenu hawawataki. Mko pekee yenu
 

These guys are a pathetic lot, it's the 21st century yet logic and numbers don't count for them,
They still talk about some victories that they had against iddi Amin, where even many Ugandans were against Amin,
then some SAMs they have been displaying in their national holidays for the last 5yrs ago.

Kenya has been equipping its army and ordering attack helicopters, trainers,air logistical support for the last 7yrs...and also been practicing and using them from 2011..

Kenya no longer parades its hard-ware in military parades (except the fly past by a few jets), lastly was done in 2011 in the promulgation of the new constitution..

Just buying a few SAMs and a few advanced jets (6 in the case of UG) does not outdo the logistical,training and financial advantage Kenya has.
 
Hakuna mtu anawataka. Hata Germany na Britain wakoloni wenu hawawataki. Mko pekee yenu
USA alitaka kuweka base kigamboni kipinda cha bush na JK lakini tulikataa wajerumani tena kipindi kile kuna east na west Germany tuliwafukuza wote katika majeshi yetu sasa chaajabu ni wenzetu mnaona ufahari kuwa na jeshi la nchi nyingine ndani ya nchi yenu poleni sana.
 
Which equipment do you own. Wakenya mnaweza kuongea maneno mengi tu.
Tell me your air force equipment, your ground army and Navy.
Zaidi ya kupiga kelele tu.
 
Mbona Germany hawajainvest kitu chochote Tanzania. Mbona waliwasahau hivi, aki jameni inasikitisha.
 
Huo unaitwa ukoloni mambo leo.
 
Which equipment do you own. Wakenya mnaweza kuongea maneno mengi tu.
Tell me your air force equipment, your ground army and Navy.
Zaidi ya kupiga kelele tu.
Akijibu nitag..
 
Inasikitisha sana kuona taifa kama Kenya vijana kushangilia uwepo wa base za Britain. Ukombozi wa kifikra unahitajika kwa vijana hawa.
 
Unazungumzia vita kwa uchumi wetu huu?mungu epusha hizi fikra.Pili vita sio kama video game,inaitaji mipango ya hali ya juu sana,unaweza kuwa na madege yote hayo lkn vita ukashindwa,mf vita ya kagera,amin alikuwa na ndege(silaha)bora zaidi yetu...Israel vs arabu countries(six day day war)
 
When you copy remember to paste the source of ur information.
 
Sasa mbona mnaenda China kuomba mikopo na chakula?, vipi kazi ya SGR na barabara zote mnawapa wachina?, biashara yote ni China?. Sorry nimesahau fala ninahisi ni mamako.
 
Israel hapigwi kwasababu si yeye anaepigana.
Marekani hupigana kwa niaba yake
 
to me mig29 ni the best !!!
by the way iyo mig unauwezo wa kufika Armstrong limit "kama sjakosea 🔙 yani inapita juu sana
pia inarada nzuri sana
natamani watu waijue mig29 as i know
 
Wewe umezaliwa juzi huna unalojua, Ghana chini ya Kwame Nkuruma ilikuwa ilifuata sera za Maxist, hivyo hivyo Nigeria, some historia za hizo nchi wacha kupiga kelele, ndio sababu zilishiriki katika kuzikomboa nchi za Africa kama Tanzania kwa kishirikiana na China, Russia na Cuba na kupingana na nchi za Magharibi, hadi leo hizo nchi hazina uhusiano wa kijeshi na nchi za magharibi, wananunua silaha zao toka China na Urusi Kama ilivyo Tanzania Acha kuwa na akili ndogo, kwani kutembelewa na viongozi inamaanisha kwamba hiyo nchi capitalism?, Tanzania imetembelewa na marais wengi wa USA kuliko Kenya.
 
Which equipment do you own. Wakenya mnaweza kuongea maneno mengi tu.
Tell me your air force equipment, your ground army and Navy.
Zaidi ya kupiga kelele tu.

This is Kenya Airforce current inventory

Fighter
Northrop F-5 fighter F-5E - 17

Reconnaissance
Cessna 208 surveillance / light transport - 1

Transport
Harbin Y-12 transport - 11
Antonov An-28 - 2 on order
DHC-5 Buffalo - 4
C-27J Spartan - 2 on order
Bombardier Dash 8 - 3

Helicopters
Bell UH-1 utility UH-1H - 8
Bell AH-1 attack AH-1F - 2
Mil Mi-17 utility / transport Mi-171 - 2
Harbin Z-9 utility - 6
Airbus H125M utility - 4
SA 330 Puma France utility / transport - 14
MD 500 Defender United States light attack 530F - 40 in service - 12 on order

Trainer Aircraft
Northrop F-5 conversion trainer F-5F - 4
Short Tucano trainer Tucano 51 - 12
Grob G 120 Germany trainer 120A - 6
Bulldog T1 United Kingdom basic trainer - 11



This is Tanzania Airforce
Shenyang F-7 fighter - 11
Shenyang J-6 China fighter FT-6 - 1
Reconnaissance
Seabird Seeker Jordan surveillance - 1
Transport
Antonov An-28 Poland transport - 1
Shaanxi Y-8 China transport - 2
Harbin Y-12 China transport - 2
Helicopters
Bell 412 United States utility - 2
Airbus H155 France utility - 2
Airbus H215 France utility - 2
Airbus H225 France utility - 2
Airbus H125M France utility Unknown number
Trainer Aircraft
Hongdu JL-8 China jet trainer K-8 - 5
Chengdu J-7 People's Republic of China conversion trainer FT-7 - 2
Shenyang J-6 People's Republic of China conversion trainer FT-6 - 1


These are just numbers on the Air force strength - they show which country is more equipped.
- key points - check - quality and size of fighter jets, attack air-craft and transport craft...then be honest not just shouting like Kinjikitile Ngwale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…