Kama migingoNishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
Yaani wewe unajua kuliko TPDF wenyewe!?Yes wamekosea. And Nikwambie upgrade zilizofanyika india ni kwa ajili ya jeshi la anga la india tu. Mig-29K na Mig -29KUB.
Hapa kwa Tanzania.
Sidhan kama tunamiliki mig29 bado tupo mig21 na chengdu j7
Kila nchi inakua na kitu inaitwa roundel symbol ambayo huchapwa pembeni ya ndege.
Roundel iliyopo kwenye mig29 zilizo kwa website ya tpdf sio ya tanzania. (sielewi walikua na maana gani)
Pia kwenye zile ndege kuna neno navy(ikiwa na maana zinamilikiwa na jeshi la majini) kitu ambacho sio sahihi. Bado hatujafilia level hizo kwa sasa
Hapo chini ni picha ya hizo Mig kwa website ya tpdf , pia roundel ya tanzania airforce.
View attachment 898279View attachment 898280
Kama mlivyo inajisi Uganda kwenye kisiwa cha migingoNishakuambia tutawanajisi kwenye ground na husikii. Vita hupiganwa kwenye ground
Ungecheki su -30 ambayo kwakweli ni long range fighter si kama mig-29 ni nzuri lakin for short range.to me mig29 ni the best !!!
by the way iyo mig unauwezo wa kufika Armstrong limit "kama sjakosea [emoji774] yani inapita juu sana
pia inarada nzuri sana
natamani watu waijue mig29 as i know
Nimekuambia jifunze kutumia mitandao kijana. Wikipedia is a public free media. Kila mmoja anaweza kuweka taarifa zake na wengine wakafanya modifications.Hahaha mr.anaeli. hata link yenyewe inasema hakuna su-35.
Latest fighter ni Mig-21MF ndio tunayomiliki.
Kenya is not interested in a war over that rock, Museveni wants a showdown but will not get it, Uganda has sent soldiers there but Kenya sent some administration police to patrol it..that tells you how less critical we treat issues of that rock.Kama mlivyo inajisi Uganda kwenye kisiwa cha migingo
Kwanza asante kwa kukubali kwamba TZ zipo mig-29 tena zilinunuliwa enzi za JK akiwa waziri wa mambo ya nje.
Hata hivyo F-5 ni mtoto mdogo sana kwa mig-29. Hata yule F-16 bado ni mtoto kwa mig-29.
Sasa unatakiwa uelewe Tanzania imefanyia upgrade ndege vita zake zote.
We jamaa. Unajifanya mjuaji mjuaji kumbe hewa tu. Hizo fighter jets kila moja inafanya kazi yake. Ndiyo maana majeshi yenye nguvu yananunua zote kwa pamoja. mikoyan are interceptor jets while Su-30 bombing jets. Kwa kugha rahisi kabisa sijui utaelewa!?Ungecheki su -30 ambayo kwakweli ni long range fighter si kama mig-29 ni nzuri lakin for short range.
.Tz tumenunua lini mig-29?
Yaani wewe unajua kuliko TPDF wenyewe!?
mig-29 zilishanunuliwa zama mno tangu JK akiwa waziri.
Jaribu kupitia hapa
MiG Flies to Africa
Halafu ukumbuke USA alitaka kuiwekea vikwazo TZ kwa sababu inashirikiana na NK kukarabati na upgrade ya ndege vita na SAMs.
Huyo fala achana naye atakupotezea mudaWewe maana ni waajabu sana. Mimi nakuletea taarifa kutoka website ya TPDF halafu wewe unaniambia niende wikipedia!?
Ninaweza kwenda wikipedia na kubadilisha sasa hivi kisha utashangaa.
Hebu sasa check hii link: Tanzania Air Force Command - Wikipedia
Nimekuambia jifunze kutumia mitandao kijana. Wikipedia is a public free media. Kila mmoja anaweza kuweka taarifa zake na wengine wakafanya modifications.
Ndiyo maana hakuna hata mmoja anaye support upuuzi wako huu. Iwe mkenya au mtanzania wanakuona wewe ni ignorant.
Tanzania does not have Mig-29,as much as you want to say you have classified info, the purchase of jets is not even secret in nations like India, Usa etc..sembuse TZ, Ug just bought 6 Su-30MK2 kila mtu akajua, kwani nyinyi mlipitisha wapi?Yeah otherwise wasingeweka mig-29 yenye logo ya india? Mwaka 2013 tanzania ili receive J-7G au unaweza ita Mig-21MF kutoka china.
Zilikuwa ziko 14. Hizi ni upgraded lakin si mig -29.
Hivi unazijua silaha zote za TPDF!?Yeah otherwise wasingeweka mig-29 yenye logo ya india? Mwaka 2013 tanzania ili receive J-7G au unaweza ita Mig-21MF kutoka china.
Zilikuwa ziko 14. Hizi ni upgraded lakin si mig -29.
You are ignorant. Mimi nipo na account Wikipedia naweza kuanzisha article yoyote au kuongeza na kufuta section yoyote kwenye Wikipedia.Wikipedia hawaruhsu watu kufanya modification ya habari zake.
Espicially from outside. Huwezi ku gain access from darabase zao unless uwe na special authorization.
Hakuna anaeweza kufanya modification labda wikipedia wenyewe. But not form outside
Ongera Kwa wewe kutakwa na wazungu ila angalia wasije kukutia mimbaHakuna mtu anawataka. Hata Germany na Britain wakoloni wenu hawawataki. Mko pekee yenu
Sasa unahamisha ubishi wa kijinga sasa. What bomber does it means kwenye akili zako!?Mm nakupa reality check bro. Tatizo hufuatilii mambo. Su -30 is not a bomber. Ni fighter.
Sema inauwezo wa kufanya multirole missions pia.
Yes mig-29 ni interceptor which sijakataa pia. Nimependekeza tu kuchek su-30